Sasa anazungumza mapunda anahoji uhalali wa takwimu za tume ambazo anaona hazikuwa na uhalali kutokana na namna zilivyokusanywa hasa kwa kuacha maoni ya mabaraza ya kata na wilaya.
Pamoja sana Mkuu. Wakati mwingine tunakuwa tunapitiwa kwa vile huku tunasikiliza,wakati huo huo tuna tunatupia humu JFNashukuru mkuu kwa kuedit
LABDA IWE HIVI......!!!
Kipofu-mlemavu wa macho.
Kiziwi-mlemavu wa masikio.
Bubu-mlemavu wa mdomo.
Kipara-mlemavu wa nywele.
Kitambi-mlemavu wa tumbo.
Mapengo-mlemavu wa meno. Wowowo-mlemavu wa matdko.
Lesbian-mlemavu wa knma.
Gay-mlemavu wa mbo.o
Hakika mkuu katukumbusha mbali sana,halafu watu wa picha nao wakamuonesha salungi sijui na yeye ni watoto wa wakoloni waliokuwa zanzibar.Hakika huyu mbunge ananikumbusha mbali sana. Anasema kuwa wapinzani wa mapinduzi ni hawa hawa wanaopinga muungano hasa kupitia vizazi vyao. Anasema kuwa Wazanzibari wanaotoka Unguja, wana muingiliano na watu wa bara huku wa Pemba hawana muingiliano wa kidamu zaidi ya ule wa kibiadhara.
Mkuu hawajaokotwa wameteuliwe kutoka kwenye makundi yao wanayofulsa nzuri na upeo mzuri sana wa kutoa mchango wao katika kutunga katiba.
Zainabu kawawa,
Anaanza kwa kupinga muundo wa serikali tatu.
serikali ya shirikisho haina maana kwa kuwa haitoi huduma yoyote ya kijamii.
Anawaponda viongozi wa upinzani kuwa wanamponda baba wa taifa lakini wao wanasifa gani ya kuvaa koti la baba wa taifa.