Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

serukamba:Lissu alisema uongo wa miaka 50 umefika mwisho..Mwl ameleta uhuru na amani na muungano
 
Serukamba: Mnataka kuudumisha Muungano gani ambao mnadai hati zake zimegushiwa?
 
Nahutakuja muelewb kamwe sababu huwa unajiandaa kutomuelewa
 
kuibiwa siyo lazima uvunjiwa duka!!! pole - mjini hapa.
 
Ndungu zangu wangu watanzania kwanza kabisa niseme pole yetu kwa kuwa matarajio yetu ya kupata katiba mpya yanazidi kuyoyoma,nasema yanazidi kuyoyoma kwa kuwa sote tunaona staili mpya ya wawakilishi wetu kuwa wameanzisha mashindano ya mashairi na sio kujena hoja tena,kama nilivyo sema hapo juu pole yetu narudia tena pole yetu kwa jinsi tunavyo endelea kukwerwa na watu hawa wanao endelea kutumi kodi zetu kwa akwenda kufanya mazoezi ya mashari na sio kufanya kazi tuliyo watuma ya kututengenezea katiba mpya.

Ukilitizama kwa makini Bunge hili unajiuliza ni kwa nini linaendelea kuwepo pale ukizingatia kuwa kuwa kila kundi linaendelea kuwa msimamo wake na hakuna namna yeyote ya kufikia muafaka,Binafsi sioni nhaya ya wawakilishi hawa kupoteza muda na kula kodi za walala hoi kwa kutusikilizisha mipasho,ni vyema wangeenda kwenye kura na kupata uamuzi juu ya jambo linalo bishaniwa na sio kuendelea kutukana na kuwa fanya watanzania wakose imani nao na kuona kama wanayo yafanya yana lengo la kuendelea kukaa dodoma ili wajichumie fedha za wavuja jasho wa Tanzania ambao kwa sasa hawana pa kusemea zaidi ila wanavumilia maumivu ya kukosa huduma za muhimu ili hali watu wanachezea mapato yao kwa kutukana na kuwasababishi watanzania adha kubwa,kwa siku za karibuni Bunge limekuwa halifai kutizamwa na watu chini ya miaka kumi na nane kwa kuwa yanayo ongelewa hayawafai kwa mila zete.

Mwisho kabisa ningependa kusema jambo moja kuwa umoja siku zote ni nguvu ila umoja unakuwa na nguvu haswa pale ambapo wenye umoja wanaendelea kukubaliana na umoja huo,lakini itakapo fikia wenye umoja mmoja wao kutokubaliana na umoja wenu maana yake umoja huo utakuwa wa hatari sana hauna tofauti na kuwa na mke ambae yeye ameshafikia uamuzi wa kusema sasa basi sitaki kuendele na ndoa hii na mume kusema tutaendelea utake usitake.

Sote tunaona na tunakubaliana kuwa kuna tatizo katika muungano wetu na ni kweli kwamba matatizo tuliyo nayo yanaweza kutatuliwa tu kama tutakubaliana na mfumo wa aina yeyote kati ya mifumo iliyo pendekezwa ila tatizo kubwa hapa ni makubaliano hayo kutokupatikana kwa kuwa makundi yete hayako tayari kulegeza misimamo yao.

Ushari kwa wawakilishi wetu ni vyema wakaelekeza akili zao kwenye njia sahihi ya kuwa na muafaka kwa njia hii wanayo itumia ya mipasho na ushindani narejea kauli ya wengi iliyo wahi kutolewa na watu tofauti tofauti kuwa hapatakuwa na mshindi kwenye hili kama hali hii itaendelea kuwa hivi.

Kuna mengi sana ya kushauri ila kwa leo nishie hapa na wengine wataweza kuongezea.
 
serukamba:mnaotaka s3 mnasema mnataka muungano imara lakini mnataka kuvunja muungano
 
Serukamba: Jussa anataka Zanzibar yenye Mamlaka kamili. Anamaanisha TUUVUNJE MUUNGANO!
 
Hawa wajumbe wa bunge la katiba nani kawaloga?? Asilimia zaidi ya 90 ya wanaochangia wana-attack personalities badala ya ku-discuss contents za rasimu ya katiba.

Halafu wanaomba kuongezewa muda....hata wapewe miaka 10 kwa mtindo huu hatutapata katiba yenye kuleta muafaka kwa mustakabali wa nchi zetu mbili...ni kupoteza muda na fedha
 
mtikika ataongea mchana hù au jioni, jina lake liko kwenye list ya leo.
Kaa kitako tu utamsikia mtetezi wa kweli wa uhuru wa WATANGANYIKA.

Safi sana mtanganyika halisi huyu hakuna hila ndani yake
 
Hana msimamo siku hizi anajifanya ana busara eti ....serikali tatu siyo mbaya na serikali mbili pia zinadumisha muungano....Zanzibar kuwa nchi sawa lakini Tanganyika hawataki iwe nchi. Hatutaki bora kama vipi mtuambie hiyo serikali moja na nchi moja tu Tanzania tutawaelewa.
 
Ndivyo alivyosema kuhitimisha hoja yake.

Heko sana Serukamba maana hata Muungano wa mkataba ni serikali mbili kila nchi ikiwa na mamlaka yake kamili.
 
Nani anahofia usanii wake labda nyie waumini wake
Kumbe ndio maana unadanganywa hivyo !!
Sasa Kama ni usanii kwa nini CCM na watawala wanajadili??
Unakumbuka Kiti Moto??

Hisitoria inafahamika kwa Hoja za Kakobe ndio maana wewe ulipo ona thread ya kakobe ukawa wa kwanza kufungua na kuchangia!!
Ingekuwa dhamira yako ya ndani ni hiyo basi na wewe ungedharau kufngua thread hii . Hivyo na wewe unafanya usanii ktk mchango wako!!

Unamuona Kakobe mtu mahili kutoka ndani ya Moyo wako lakini mchango wako upo tofauti na dhamira yako!!

Hata hivyo mimi nakuunga mkono kwa jinsi ulivyo kwa kuwa hupo huru!!
 
Serukamba: CCM Tunalo jukumu la kulinda Muungano huu. Muungano utakuwa salama mikononi mwa CCM!

Yah kwasacbu ccm imeshindwb kuomgoza taifa hili lenye kila aina ya rasilimali kwa maendeleo ya taifa lolote ulimwenguni ndio maana tunataka kutengua kila ana ya kila kilicho asisiwa na kutengenezwa na ccm ikiwemo ccm yenyewe havina faida kwa umma wa watanzania period.

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom