Shekel Empire
Member
- Apr 8, 2014
- 27
- 11
Wabunge wa upinzani wameamua kutoka nje baada ya kuona mijadala ya bunge inajadiliwa kinyume na matakwa ya wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshashiba haoWarudishe posho walizochukua
Wamechelewa sana! yaache majambazi yatengeneze katiba ya kulinda UJAMBAZI!!Ni baada ya lipumba kumaliza kuongea hivi sasa. Wanajitoa rasmi
Pengo ameshaweka bayana kuwa wakristo wanaunga mkono serikali mbili. Wewe ni mkristo gani unayeendekeza makwinyanzi?Huyo lukuvi hataweza hyo kampeni yake km ni kweli wakristo tunajielewa
Wabunge wengi wa CCM wamechangia kwa hoja.Hivi Nyie watu kwanini akiri zenu mmehamishia visiginoni mbona mmekosa hoja kiasi hiki.
Hivi unaweza kutuwekea hapa hizo unazoziita point za kutetea serikali mbili. Na utaelewaje wakati akiri zako umekabidhi Lumumba.
Jitambue ndugu utakalili mpaka lini na utawarithisha nini wanao.
BACK TANGANYIKA
Shida nini hadi imekuwa hivyo...!?
Wametoka baada ya lipumba kutoa hotuba kali