Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
....
....Heko UKAWA Karibuni uraiani tuendeleze mapambano kuyang'oa MASHETANI !!!!
....Heko UKAWA Karibuni uraiani tuendeleze mapambano kuyang'oa MASHETANI !!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unapaswa kuombewa wewe ni pepo linakufata.
kwani kuna binadamu hawakuumbwa na Mungu?
muulize babu yako alikuwa anatibiwa wapi kabla ya hosptali kuletwa?
hoja yako haina mashiko
Wapinzani wakimbia hoja bungeni
Wapinzani wakimbia hoja bungeni
Hii hati ndiyo iliyowatoa ukumbini ukawa imewaumiza sana wanatamani waibe tena wapate hoja tena.![]()
HATI IMECHAKAAA KIASI HIKI ETI ILIKUWA SEHEMU SALAMA. WHAT A SHAME!
Wamesubiri posho itoke ndiyo wakatoka hakiamungu lazima tuwakabe warudishe posho zetu hatukubali wachezee pesa zetu.Warudishe posho zetu kwanza wehu hao
Jisemee wewe acha kujifanya wee ni msemaji wa wananchi...
...Big up UKAWA ...wananchi tupo pamoja nanyi !!!
UKAWA wamekimbia vioja na matusi kutoka kwa mashetani na masokwe ya lumumba na magogoni.
Bravo UKAWA kwa uamuzi huo. Hii ni zawadi tosha kwa sikukuu ya pasaka.
Warudishe posho zetu kwanza wehu hao
hii hati ndiyo iliyowatoa ukumbini ukawa imewaumiza sana wanatamani waibe tena wapate hoja tena.
Mimi niko apa kwenye geti la ukumbi wa msekwa wanakogawana hizi posho zetu, wakianza kutoka nawabana watupe chetuWamesubiri posho itoke ndiyo wakatoka hakiamungu lazima tuwakabe warudishe posho zetu hatukubali wachezee pesa zetu.