kwa staili aliyoanza nayo sitta, hakuna shaka kwamba lazima angeshindwa tuu, mwanzo tulimshauri aliongoze bunge kujikita ktk mjadala ambao ni rasimu ya katiba, sitta aliruhusu wabunge kuvunja sheria no 83 ya mabadiriko ya katiba iliyokua imeanzisha tume ya mabadiriko ya katiba na majukumu yake, vile vile sheria hiyo ilianzisha bunge maalum la katiba na majukumu yake, kitendo cha kuikataa rasimu sitta hakujua kwamba msingi wa uenyekiti wake ni rasimu ya tume, anapenda kuendelea kuwa mwenyekiti wakati msingi uliomweka anauvunja, tuna kila sababu ya kutomwamini sitta kamwe, kwa lengo la urais angefanikiwa angesimama ktk misingi ya tume kuongoza bunge, hongereni ukawa kwa kuonyesha wazi kwamba hakuna katiba,,,,,,,,,