Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

Naona hawa wajumbe toka vyama vya siasa hasa chadema na cuf wako na agenda yao ambayo bado hatuijui kabisa sielewi kwa nini wanataka rais aanze kuhutubia kwani warioba ni mkuu kuliko rais.
 
Wamebuni styl mpya ya kugoma! Ni kupiga kelele mwanzo mwenga, I lyk it, ile ya kutoka imekua outdated

Njia hiyo inatumiwa na mabunge ya nchi zinazofanana na Bunge letu huko ughaibuni. Ina uzuri wake
 
Mwenyekiti amelazimika kusitisha shughuli za bunge leo jioni baada ya wabunge kukataa kusikiliza hotuba ya mwenyekiti wa tume ya Katiba. hii inaonesha pia Warioba ameamua kugoma kusoma kwani wazo la Sita lilikua isomwe tu.

Inadaiwa kuwa wabunge hawa wanataka protocol izingatiwe na Rais alifungue bunge kwanza na si vinginevyo hofu bila shaka ikiwa ni umuhimu wa hotuba ya Warioba utatiwa kampuni ikianza.
Yetu macho. tunaendelea kuona sura ya ule muhafaka unaotarajiwa na una sura inapambwa na matukio kama haya!

Bunge limehairishwa kwa muda.

Wabunge wetu kama watoto vile cjui wanafikilia nini
 
Jaji Sinde Warioba tunashukuru kwa kutuletea Tanganyika yetu. Naamini ata uraia wa nchi mbili utapatikana tu. Amen.
 
hapa lazima kanuni Zifwatwe siyo mtu anajiamulia kufanya anachofanya kama mambo ya familia yake
 
Naona hawa wajumbe toka vyama vya siasa hasa chadema na cuf wako na agenda yao ambayo bado hatuijui kabisa sielewi kwa nini wanataka rais aanze kuhutubia kwani warioba ni mkuu kuliko rais.

Bila shaka wanataka wamsikie vizuri hapo bungeni maana ameshasema serikali ni mbili na hilo pia linahubiriwa na rais wa Zanzibar. Sasa, kama katiba imeamuriwa na marais hawa wabunge wamekaa hapo kujadili nini? Kama viongozi, hakika wamekosea sana kulisema sana jambo hilo wakati liko katika mchakato.
 
Njia hiyo inatumiwa na mabunge ya nchi zinazofanana na Bunge letu huko ughaibuni. Ina uzuri wake

Safi sana wabunge wangu uzi huo huo. Sheria zifuatwe. Inakuwa raismu iwasilishwe bungeni kabla bunge halijazinduliwa? Na warioba apewe siku nzima kuwasilisha raismu bungeni.

Kuna mijitu hapa hata haijui nini kinaendelea. wanadakia tu mambo, eti warioba amezomewa. amezomewa wapi? Hili jukwaa lina watu wenye uelewa mdogo sana. Hawaezi kusoma in btween the lines.
 
Wabunge wetu kama watoto vile cjui wanafikilia nini

Sio km watoto ndugu wapo makini kufanya kazi waliyotumwa na watatnzania ambayo CCMintaka kuiharibu kwa makusudi. Kwa akili yako wewe unaona ni utoto?
 
Safi sana wabunge wangu uzi huo huo. Sheria zifuatwe. Inakuwa raismu iwasilishwe bungeni kabla bunge halijazinduliwa? Na warioba apewe siku nzima kuwasilisha raismu bungeni.

Kuna mijitu hapa hata haijui nini kinaendelea. wanadakia tu mambo, eti warioba amezomewa. amezomewa wapi? Hili jukwaa lina watu wenye uelewa mdogo sana. Hawaezi kusoma in btween the lines.

Mkuu usiumize kichwa kubishana na makapi yenye vichwa vya nazi, ni kupoteza nguvu zako bure.
 
Safi sana wabunge wangu uzi huo huo. Sheria zifuatwe. Inakuwa raismu iwasilishwe bungeni kabla bunge halijazinduliwa? Na warioba apewe siku nzima kuwasilisha raismu bungeni.

Kuna mijitu hapa hata haijui nini kinaendelea. wanadakia tu mambo, eti warioba amezomewa. amezomewa wapi? Hili jukwaa lina watu wenye uelewa mdogo sana. Hawaezi kusoma in btween the lines.

Warioba hajazomewa. Nilikuwa naangalia tv, nikawa nasikia wabunge wakisema kanuni zifuatwe. Kwahiyo ni swala la kikanuni halikwenda sawa. Na kanuni hazimhusu Warioba kwasababu yeye si mbunge na mpaka ameingia hapo, kanuni zilitenguliwa.
 
Huyuhuyu sita watu walisema anafaa leo tena wanasema vingine.
 
Naona hawa wajumbe toka vyama vya siasa hasa chadema na cuf wako na agenda yao ambayo bado hatuijui kabisa sielewi kwa nini wanataka rais aanze kuhutubia kwani warioba ni mkuu kuliko rais.

Hapana, Raisi ni mkubwa kuliko Warioba...ndio maana ni Raisi anatakiwa kuzindua Bunge na si Warioba. Ndivyo inavyofanyika duniani kote waliko watu wenye akili, hii ya Sitta na CCM yake ni kama mchezo wa kuigiza.
 
Back
Top Bottom