Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
631x300,000= 189,300,000 zimeondoka leo!!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Lawama kwa mwenyekiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
631x300,000= 189,300,000 zimeondoka leo!!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Wamebuni styl mpya ya kugoma! Ni kupiga kelele mwanzo mwenga, I lyk it, ile ya kutoka imekua outdated
Kivipi unaweza kutueleza sababu za msingi hapo.Lawama kwa mwenyekiti
Ahsante kwa matusi kwa nini usiongeze lingine hili dogo sana.hila yenu na janja yenu ccm tumeshaijua. kanuni ni lazima zifuatwe senge wakubwa nyie
Mwenyekiti amelazimika kusitisha shughuli za bunge leo jioni baada ya wabunge kukataa kusikiliza hotuba ya mwenyekiti wa tume ya Katiba. hii inaonesha pia Warioba ameamua kugoma kusoma kwani wazo la Sita lilikua isomwe tu.
Inadaiwa kuwa wabunge hawa wanataka protocol izingatiwe na Rais alifungue bunge kwanza na si vinginevyo hofu bila shaka ikiwa ni umuhimu wa hotuba ya Warioba utatiwa kampuni ikianza.
Yetu macho. tunaendelea kuona sura ya ule muhafaka unaotarajiwa na una sura inapambwa na matukio kama haya!
Bunge limehairishwa kwa muda.
Naona hawa wajumbe toka vyama vya siasa hasa chadema na cuf wako na agenda yao ambayo bado hatuijui kabisa sielewi kwa nini wanataka rais aanze kuhutubia kwani warioba ni mkuu kuliko rais.
Njia hiyo inatumiwa na mabunge ya nchi zinazofanana na Bunge letu huko ughaibuni. Ina uzuri wake
Wabunge wetu kama watoto vile cjui wanafikilia nini
Wataalamu toka Tanganyika hawatokuwepo?
Safi sana wabunge wangu uzi huo huo. Sheria zifuatwe. Inakuwa raismu iwasilishwe bungeni kabla bunge halijazinduliwa? Na warioba apewe siku nzima kuwasilisha raismu bungeni.
Kuna mijitu hapa hata haijui nini kinaendelea. wanadakia tu mambo, eti warioba amezomewa. amezomewa wapi? Hili jukwaa lina watu wenye uelewa mdogo sana. Hawaezi kusoma in btween the lines.
Kivipi unaweza kutueleza sababu za msingi hapo.
Safi sana wabunge wangu uzi huo huo. Sheria zifuatwe. Inakuwa raismu iwasilishwe bungeni kabla bunge halijazinduliwa? Na warioba apewe siku nzima kuwasilisha raismu bungeni.
Kuna mijitu hapa hata haijui nini kinaendelea. wanadakia tu mambo, eti warioba amezomewa. amezomewa wapi? Hili jukwaa lina watu wenye uelewa mdogo sana. Hawaezi kusoma in btween the lines.
Mkuu usiumize kichwa kubishana na makapi yenye vichwa vya nazi, ni kupoteza nguvu zako bure.
Naona hawa wajumbe toka vyama vya siasa hasa chadema na cuf wako na agenda yao ambayo bado hatuijui kabisa sielewi kwa nini wanataka rais aanze kuhutubia kwani warioba ni mkuu kuliko rais.
mkuu miccm haina lengo zuri kwenye huu mchakato wa katiba