Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
wakuu mbona huyu anaongoza bunge. wapi makinda
kuna agenda gani ya siri
 
Mijitu ya Tanesco mpaka sasa wameshakata umeme mikoa kadhaa. Hapa lengo ni kuwafanya watanzania wasiweze kufuatilia mjadala wa ESCROW. Hii nchi sijui tunaipeleka wapi....
 
karatasi zina pepea tu nadhani kuna majini bungeni hata muongoza bunge amestukia
 
Kichwa kinauma sana. Wabunge pia wengi wanaonekana wamechoka sana kiakili.
 
Mkuu MEADU mbona kama hii USTREAM iko kimya tu tangu niifungue? ni internet yangu kimeo au kuna kitu nakosea, sitaki kukosa kusikia hii riport "from the horse's mouth"!
jaribu kurefresh hiyo webpage
 
Ailinda, asante kwa hii maana hapa hapa kwetu umeme umekwenda zake!.

Pasco
Pasco soma hapa ili uzidi kuelimika mpe na Mzee Mwanakijiji kama unaye karibu hapo,

Katiba ya JMT inasema,

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…