Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Kuna taarifa kuwa ripoti hii inaweza isiwasilishwe Kama tunavyotarajia upinzani Ni mkali sana sasa hivi kwenye vikao vya kamati vinavyoendelea. Lolote linaweza kutokea.msishangae. Ngoja niendelee kumpeleleza mnyetishaji wangu.
 
This is perfect i didn't know JF wanaconnect direct tena iko verry clear. Sasa naweza kufanya kazi manake nilikuwa nawaza nalipataje bunge as TBC taifa inakata sana online

hawa jamaa wanaongea humo sijui hawajui???
 
Wasiwasi wangu umeme unaweza katwa na wahusika nchi nzima.
 
Naona pale mbele meza kuu Kama pinda keshaingia sijui au ni macho yangu.
 
Jamani mbona maswali na majibu hayaishi?
 
Wakiwa wanarusha matangazo wamejisahau kuzima mike zao wanajadili mambo yao hasa ya wanawake na pia kuhusu wabunge na kumnanga mmoja wa wabunge kuwa anakiherehere alishaambiwa atachangia escrow akiwa kaburini

Aibu Star TV
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…