Huu mpira naona utakuwa ni wa dk120, ila kama watakubali bunge likaliwe na mahakama tena kichwani hii itakuwa record mbaya ya bunge toka limeanzishwa..
Na huenda ikwawa kashifa mbaya zaidi kutokea toka historia ya bunge kuanza, ninaona uaminifu wa wananchi kwa vyombo vya nchi vikuu kupungua, mwisho nchi itakosa mwenyewe...
nipo dar, tena hapa maeneo ya mliman city lakini sipati hii. inalia chenga tu
Nahisi hakuvua viatu ili asichelewe mjengoni kuhudhuria mahafali yake.usiku wa jana ulikua ni usiku mfupi sana kwa Werema
Saa nne baada ya maswali na majibu!
Hiyo kitu naijua, na nimeizungumza kwa kirefu hapaPasco soma hapa ili uzidi kuelimika mpe na Mzee Mwanakijiji kama unaye karibu hapo,
Katiba ya JMT inasema,
Hahahaa haaaa kazi imeanzaaaaaaa
Dadadeki ni kuzomeana
usiku wa jana ulikua ni usiku mfupi sana kwa Werema