Kwa hiyo wanasubiri stop order!
Hahahaa haaaa kazi imeanzaaaaaaa
Dadadeki ni kuzomeana
Mijitu ya Tanesco mpaka sasa wameshakata umeme mikoa kadhaa. Hapa lengo ni kuwafanya watanzania wasiweze kufuatilia mjadala wa ESCROW. Hii nchi sijui tunaipeleka wapi....
rejea page 14, niliwaambia report itasomwa jioni wala sio saa hizi, na hii ni kwa mujibu wa zitto kabwe. Kama kuna zengwe au la haujulikaniMbona bunge limesitishwaaaa
Vipiiiiii
Kwa hiyo wanasubiri stop order!
Hata jioni watazingua hivihivi walikuwa wanasoma ramani kwanza....
Kwa hiyo wanasubiri stop order!
May be kwa sababu km hawajazuiliwa wanasubiri nn
May be kwa sababu km hawajazuiliwa wanasubiri nn
Duu ...pole sana mkuu mwambojoke , nadhani basi itakuwa hiyo radio unayotumia ina shida kweny kunasa frequency vizuri. Ila mimi natumia simu tu hapa hapa dar , na bado nakula vyombo kama kawaida. Jaribu tena.
Nani anazomewa
bunge limneahirishwa mpaka saa 11 jioni wabunge wabaki wameduaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa