G
Mjadala umeahirishwa baada ya miongozo kuwa mingi. Iweje issue nyeti hivi anaachiwa mwenyekiti? Maspika wote wameenda wapi?
"Mheshimiwa Spika tunakwepakwepa nini?? Ripoti iletwe hapa tujadili na tufanye maamuzi. Mimi ni CCM lakini siwezi kumhurumia waziri aliyechukua fedha IN GOOD FAITH wakati kuna hospitali hazina madawa. Mheshimiwa Spika tujadili na kila mtu abebe mzigo wake" Ester Bulaya.
don't waste your time waiting for anything, this is Tanzania, hakuna kitu chochote kitakachotokea kwa mtu yoyote. Na maisha yanaendelea