Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.

Ni sheria ipi unayosema bunge halipo juu yake? Umeisoma katiba vizuri? au ndo nawe yameshaanza kugonga kwa pressure
 
Sshiv saa saba. ..muda unaenda.... Nasikiliza DW ....
Huko marekani nako maandamano yanaendelea ..Obama analo!
 
Naomba uwe straight kiongozi. Mnyele anashughulikia hili shauri kwa niaba ya kampuni yake na Marando ama ni kazi yake binafsi?

Kama kampuni ya Marando&Mnyele advocates haihusiki, why are you trying to drag Marando into this?

I remember, some days ago, another guy here worked hard in implicating UKAWA into this. Kinachotafutwa hapa ni nini?

Naomba tujadili kwa kufuata ukweli.


 
Ungeanza kwa kuwaonyesha mfano.
Changia na hili pia na uwape magamba wenzako:. Ndugu watanzania nimefanya Jitihada Binafsi kuweza kuwatambua waliofaidika na wizi wa Fedha za IPTL, nitaendelea kuwapatia majina hapa ila jambo la msingi mfahamu kuwa Ripoti ya CAG na PCCB zimefanana kwa zaidi ya asilimia 99, na sasa kuna jitihada za kuwaokoa baadhi ya wakubwa, akiwemo GAVANA na AG.

Utafiti wa Awali pamoja na Prof. Tibaijuka wafuatao nao wamelamba na humu wako wagombea Urais wa CCM
(1) Ngeleja amepata dola 400,000
(2) January Makamba dola 800,000
(3) Werema dola 2,000,000
(4) Jack Gotham dola 1,800,000 huyu ni mpambe mkuu wa Bernad Membe na fedha hizi zimetolewa kwa ajili ya uchaguzi
(5) Ndg Nawaab Mullah dola 2,500,000 amepokea kwa Niaba ya Pinda kuchangia Mfuko wa Kampeni za PM na mtaka urais Pinda alilipotosha Bunge kuwa fedha hizi si za UMMA, na huyu mullah ndie ambae wanashirikiana na Home Shopping Centre kwenye Mradi wa Umeme wa Kinyerezi na Pinda anawasaidia ili serikali itoe Goverment Guarantee Wapewe mikopo. huu mradi escrow ni cha Mtoto Ufisadi uliopo ktk Dili hii. Mtakumbuka Kama wafuatiliaji Tanesco walitangaza Tenda ktk Gazeti la The Citizen mwezi April/May kwa mwaka 2014 walimpatia Tenda za dola milioni 150 Home shopping Centre kwa ajili ya Kuipatia Tanesco Nguzo za Umeme.

Huu Ufisadi wa Kinyerezi na Dili ya Nguzo za dola milioni 150 nitakuja Wakati mwingine kuwaelezea bado namalizia Kukusanya Facts.

Pinda kwa sasa Anapiga Dili za vibali vya Sukari na Zakaria hanspope, wanapitisha bila kulipa kodi akimtumia afisa Anaitwa Masamaki.

Turejee hoja ya beneficiaries wa IPTL list ni ndefu nitawaletea wakati wengine.💧
 

Iko hivi: Ukiwa katika partnership ya kazi fulani kwa mfano hiyo partnership ya Marando, Mnyele & Co Advocates ambayo partners wake ni Marando na Mnyele kazi yao ikiwa ni masuala ya uwakili basi partner mmoja hawezi kufanya kazi hiyo akasema ni kazi yake binafsi bali inakuwa kazi ya partnership.

Hivyo basi Mnyele hawezi akawa kwenye partnership ya Marando, Mnyele & Co Advocates kisha akaamua kufanya kazi ya uwakili akisema ni yake binafsi; kazi yoyote ya uwakili atakayofanya itakuwa inawakilisha Marando, Mnyele & Co Advaocates. Kwa maana nyingine atakuwa anamwakilisha partner mwenzake. Hii ni kwa mujibu wa sheria za partnership.

Ingekuwa Mnyele anafanya kazi nyingine kama kuuza nyama basi ingekuwa yake binafsi lakini si kazi ambayo wameanzishia partnership.

Hakitafutwi kitu chochote. Mimi nilikua namshangaa Tundu Lissu alipomshutumu Mnyele Bungeni na kusema Marando hayumo wakati akijua wazi kabisa sheria ya partnership inasemaje.


 
Sasa mkulu mbona harudi kutangaza mabadiliko ya baraza la mawaziri??au anajipa moyo kuwa mambo hayajaharibika.CCM MASILAHI msiogope kumwambia ukweli ajue kinachoendelea huku nchini mwake,

NB nna hakika hata yeye anastremka na RADIO one online saa hizi.
 
Sshiv saa saba. ..muda unaenda.... Nasikiliza DW ....
Huko marekani nako maandamano yanaendelea ..Obama analo!

lakini DW wamesema kua haitajadiliwa , yani nimekua mdogo kama piriton nahisi siku yangu imeshaharibiwa.
 
Hakiyanani hii nchi imeoza!!!!!Home shopping yupo huku tena??hebu faidha fox njoo ueleze hapa jinsi ulivosIfia kuwa mkuu ameamua kujenga Kinyerezi 1,2,3 ili kuokoa fedha za walipa kodi kumbe ni DEAL JUU YA DEAL sasa naanza kuamini kuwa ugonjwa wake ni geresha anasubiria upepo utulie ndo arudi
 
lakini DW wamesema kua haitajadiliwa , yani nimekua mdogo kama piriton nahisi siku yangu imeshaharibiwa.

No walikuwa wanamhoji yule mwandishi kilichojiri asubuhi. ...
Wakamuuliza y haijajadiliwa asubuhi mpaka kikao cha jioni?..so akatoa maelezo ya kilichojiri asubuhi. ..bt hawajasema haitajadiriwa
Hata wao Wanasubiri jioni waone itakuwaje.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…