Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Wewe Pasco kilaza na mpuuzi. Bunge haliwezi kuamrishwa na mahakama ikiwa Bunge ni chombo cha kutunga sheria. Kikatiba Bunge ni mamlaka kamili. Hao majaji wametoa amri ambayo no null and void.

Au unataka ripoti ya IPTL isijadiliwe bungeni?
Mkuu Mwana Haki, hili la ukilaza, nalikubali!, hili la upuuzi pia nalikubali, ila kwa JMT, chombo pekee cha mamlaka ya kutamka amri fulani ni "null and void" ni mahakama pekee!.

Hakuna yoyote aliye juu ya sheria!, hata Bunge lipo kwa mujibu wa sheria, na linatekeleza majukumu yake kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni!, mahakama ikitoa amri halali, mtu awaye yote ndani ya JMT ana wajibu wa kuitekeleza, hata bunge is no exceptional, kama rais tuu ambaye ndiye mkuu wa nchi, huyo Spika yeye ndio nani akaidi amri halali ya mahakama?!.

Mimi naunga mkono kiburi cha Bunge kuidharau mahakama, ili tuu ripoti isomwe!, lakini pia naelewa consequences za kudharauliwa kwa mahakama!.

Pasco.
 
sasa nizahili kwamba zimebaki dakika hukumu kutorewa ndani ya bunge . Anna tibaijuka ulisema aukuja kuganga njaa sasa inakutokea puwani mbunge wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.....,...
 

We mama una matatizo. Jana si ulikuwa unamshobokea anayejiita Mwanakijiji!? Au siye wewe?
 
mbona maswali na majibu yamekuwa prolonged..??
Hatuna shida nayo.
 
Umeme wameshakata, sasa naomba wadau watujuze ni radio gani inatangaza live kutoka Dodoma? kwani hapa tunaweza kusikiliza hata kwenye simu zetu.
 
Kama jopo la majaji waliobobea ktk sheria wamevunja sheria kwa makusudi hiyo jana kwa kuzuia bunge kujadili issue ya Escrow, ni mwananchi gani anaetendewa haki na mahakama zetu? Ni wafungwa wangapi wapo magerezani/mahabusu kwa kutondewa haki na mahakimu/majaji wetu? Ee Mungi ibariki Tanzania
 

Wewe una maslahi. Katiba haisemi hivyo, na tujikumbushe yaliyotokea BMK.
 
Nahisi huu mjadala hautakua na makali yeyote maan simuoni msemaje mkuu wa serikali aka Pinda
Watazungumza sana lakini hoja zitapelekwa ofisi ya Waziri mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…