Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Ummy Mwalimu anatoa mapendekezo kadhaa na hivyo kuifumua kabisa kanuni hiyo ya 35. Tusubiri maamuzi ya wabunge
 
Ummi mwalimu naye anamaliza kutoa mchango wake katika huu mjadala wa kupitisha kanuni.
 
kwenye kanuni ya35 (7) ummi mwalimu anatoa mapendekezo yake , leo kama kajipanga vzr tofauti na siku zingine ila tatizo lake anarudiarudia maneno hivyo kupoteza muda, bado anaendelea....
Hakika Mkuu, leo amejipanga ile mbaya
 
Jamani ummi mwalimu amemaliza kuwasilisha mawazo yake ambapo kwa maoni yangu mi naona ni pumba.
 
kumbe na hili fisadi wiliam ngeleja limo humu bungeni??? aaaaaaghr basi ngoja niliache lichangie
 
Sasa ni zamu ya Julius Mtatiro
 
kumbe na hili fisadi wiliam ngeleja limo humu bungeni??? aaaaaaghr basi ngoja niliache lichangie
Mkuu, vipi tena? Naona unaacha mjadala unaanza kumshambulia mtu. Utamaduni ule tuliokubaliana ni bema tukaudumisha. Tukirudi kule kwenye jukwaa letu la Siasa ndo tutajiachia. Hapa tuweke mbele maslahi ya Taifa na ndo maana JF wakatenda haki ya kuweka jukwaa linalojitegemea
 
pah pah pah pah pah makofi toka kwa wadau wote wa katiba mpya!
 
Asante mkuu kwa kunikumbusha, ni ubinadam tu ulinipitia kutokana na mambo yaliyolitafuna taifa letu, basi tuendelee, sasa namwonakijana wa shati la draft anaongea sijui jina lake
 
Kweli hii issue hata mlemavu wa akili lazima ash2kie dili! Ati CCM wanapigania uwazi!!??
 
Bunge lipo tulivu sana leo, naona halinya hewa bungeni sio mbaya sana!
 
Asante mkuu kwa kunikumbusha, ni ubinadam tu ulinipitia kutokana na mambo yaliyolitafuna taifa letu, basi tuendelee, sasa namwonakijana wa shati la draft anaongea sijui jina lake

pah pah pah pah makofi kwa wadau wa katiba mpya! big up kwa kuwa muungwana! safi sana!
 
Bunge lipo tulivu sana leo, naona halinya hewa bungeni sio mbaya sana!

kwa uzoefu wa wajumbe , bunge limetulia kwa muda baada ya kifungu cha 37 na 38 kurukwa hadi siku nyingine, hapo ndipo utawatambua wenye jaziba, matusi, kelele, kejeli na aina za fujo zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…