Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Kikao ambacho kilipaswa kianze Leo saa 4 asubuhi kukamilisha upitishwaji wa vifungu vya kanuni zilizosalia umeahirishwa hadi saa 9 kwa kuwa muafaka haijafikiwa na pande zinazotofautiana hasa upinzani na CCM. Ishu kubwa ni kura iwe ya Siri au ya wazi. My intake hii ndio hasara ya wanasiasa kuhodhi mchakato. Wanapoteza mda ili waendelee kula posho.
 
mmachinga umetoka wapi huku jf? Kumbe ninyi ndo mnaotoa matuc kwa uelewa wenu mdogo! Nafanya mpango wa kujitoa kama hadi wakwepa kodi wapo huku!

Toa UPUMBAVU wako wa kudharau watu. jitoe kuna mtu anakutegemea hapa?
 
Kikao ambacho kilipaswa kianze Leo saa 4 asubuhi kukamilisha upitishwaji wa vifungu vya kanuni zilizosalia umeahirishwa hadi saa 9 kwa kuwa muafaka haijafikiwa na pande zinazotofautiana hasa upinzani na CCM. Ishu kubwa ni kura iwe ya Siri au ya wazi. My intake hii ndio hasara ya wanasiasa kuhodhi mchakato. Wanapoteza mda ili waendelee kula posho.
Source Mkuu.
 
Wadau, nipo hapa viwanja vya bunge muda huu. Bado sijaingia ndani ila kuna minong'ono inaanza kusikika kuwa semina imeahirishwa. Kwa vile nitakuwa eneo hili na muda si mrefu nitaingia ukumbini, nitawajuza kinachoendelea. Stay connected
 
Kikao ambacho kilipaswa kianze Leo saa 4 asubuhi kukamilisha upitishwaji wa vifungu vya kanuni zilizosalia umeahirishwa hadi saa 9 kwa kuwa muafaka haijafikiwa na pande zinazotofautiana hasa upinzani na CCM. Ishu kubwa ni kura iwe ya Siri au ya wazi. My intake hii ndio hasara ya wanasiasa kuhodhi mchakato. Wanapoteza mda ili waendelee kula posho.

Hapo penye Red Mkuu
 
image.jpg
Taswira ya Lango kuu la kuingilia wabunge linavyoonekana dakika 12 kabla ya muda uliopangwa kuanza kikao. Bado nawndelea kufuatilia ili niwajuze kinachoendelea. Kuweni na subira
 
[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TD]Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 machi 2014 saa tisa alasiri. Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa alasiri badala ya saa nnne asubuhi.

Imetolewa na Katibu wa Baraza la wawakiliashi na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wadau, taarifa za uhakika ni kuwa semina imeahirishwa mpaka saa 9 alasiri. Sababu iliyotolewa ni kuwa bado muafaka ulikuwa haujafikiwa juu ya vile vifungu vya 32 hadi 43. Kuanzia saa 5 kile kikao cha Kamati ya Maridhiano kitaendelea. Baadhi ya wadadisi wanasema kuwa huenda kifungu cha 37 na 38 juu ya kura ya siri na wazi ndo kikwazo. Hata hivyo, baadhi ya wabunge ambao walikuwa wanapinga kura ya siri wanaonekana kulegeza msimamo wao na hivyo kukubaliana na maamuzi ya Kamati ya Kanuni ya kutumia kura ya Siri. Nawashukuruni sana kwa uvumilivu wenu
 
Kikao ambacho kilipaswa kianze Leo saa 4 asubuhi kukamilisha upitishwaji wa vifungu vya kanuni zilizosalia umeahirishwa hadi saa 9 kwa kuwa muafaka haijafikiwa na pande zinazotofautiana hasa upinzani na CCM. Ishu kubwa ni kura iwe ya Siri au ya wazi. My intake hii ndio hasara ya wanasiasa kuhodhi mchakato. Wanapoteza mda ili waendelee kula posho.

Danadana hizo, ujue kuna jambo ambalo wajumbe wengi wanaliunga mkono ila kuna kundi fulani hawalipendi, ikiwemo kura ya Siri vs Wazi
 
Nawaona hapa wajumbe Chako ni Chako wana kula Supu Mkuu
 
[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TD]Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 machi 2014 saa tisa alasiri. Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa alasiri badala ya saa nnne asubuhi.

Imetolewa na Katibu wa Baraza la wawakiliashi na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hawa wabunge watakuwa na akili mbovu sana, hivi hivyo vifungu tangu jana saa 4 mpaka leo saa 4 hawajamaliza? Huu ni ujinga. Wanapoteza muda kwa makusudi tu, na huyu mwenyekiti hafai kabisa, yeye akiambiwa kitu anakubali tu!
 
Badala ya saa 9 utasikia saa 11 jioni!

Hawa wajumbe wa hili bunge "fake" ni sawa na wahujumu uchumi tu!
 
Kila muda wanaahirisha hata kwa mambo ya kipumbavu... Sijui kwa nini hii nchi iko hivi! Nadhani ifike mahali itoshe... Na huu upumbavu unaongozwa na ccm na kura yao ya wazi!.
 
Wadau,

Baada ya kuwawakilisha vema siku ya jana tarehe 7.3.2014, leo tutaendelea kuwajuza yatakayojiri Dodoma kwenye semina ya Bunge Maalum. Kazi kubwa ya leo ni upitishwaji wa vile vifungu vya Rasimu ya Kanuni kuanzia cha 32 hadi 43 ambavyo vilitakiwa vipitishwe jana lakini ikashindikana. Mtakumbuka kuwa kabla Mwenyekiti hajaahirisha Semina ya jana, alitangaza Kamati maalum ya maridhiano ambayo iliketi jana kuanzia saa 9 alasiri kutafuta namna nzuri ya kupitisha vifungu hivyo.

Aidha, makundi maalum yanayounda Bunge Maalum yalikutana kuanzia saa 12 jioni ili kupata taarifa juu ya yale yaliyoafikiwa na Kamati ya Maridhiano. Kwa hali hiyo, ni dhahiri kuwa siku ya leo hoja kutoka kwenye floor hazitakuwa nyingi na kali kwa vile vipengele hivyo vitapitishwa kimaridhiano.

As usual, nitakuwa sambamba na Simiyu Yetu kuwahabarisha wana JF. JF itakuwa ya kwanza daima na wengine watafuatia. Pamoja sana.

Stay Connected.

===========================================================================

UPDATES 1

Semina imeahirishwa hadi saa 9 Alasiri. Sababu ya kuahirishwa ni kuwa maridhiano yalikuwa hayajapatikana kuhusuvifungu vya 32 hadi 43. Kipengele kinachovuta hisia za wabunge wengi ni kifungu cha 37 na 38 juu ya ufanywaji wa maamuzi. Hata hivyo kuna dalili muafaka ukapatikana katika kipengele hicho hasa baada ya baadhi ya wabunge waliokuwa wanapinga Kura ya Siri kulegeza msimamo Wao.

Kuanzia saa tano ile Kamati ya Maridhiano ambayo iliundwa kushughulikia muafaka wa vifungu hivyo itaendelea na kikao chake.

Kwa nini isiwe nyie mnaoipenda ya wazi mlegeze kamba?Kwa nini hamtaki kura ya siri?Kuna ajenda gani hapo?
 
Km kura itakua ya waz bas ccm washapiga bao, tusubir katiba ya ccm na sio ya wananchi wa TZ
 
Back
Top Bottom