Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Nimekupata ni km kuwa overall incharge! sio ndio?

Swadakta mkuu, umenipata vizuri, asante sasa tuendele kusikiliza michango ya wajumbe ukumbini, hivi huyu mama ambaye kawa wa kwanza kuchangia kanuni ya 36 anaitwa nani? nilipitiwa kidogo
 
Pauline gekul ndio yupo hewani ama? nijuzeni wadau! cc Skype
 
Last edited by a moderator:
Swadakta mkuu, umenipata vizuri, asante sasa tuendele kusikiliza michango ya wajumbe ukumbini, hivi huyu mama ambaye kawa wa kwanza kuchangia kanuni ya 36 anaitwa nani? nilipitiwa kidogo

teh teh mm mwenyewe nimekumention ili unisaidie kumbe na wewe umepitiwa! ngoja tumwite Chabruma
 
Last edited by a moderator:
Ummi mwalimu anapata nafasi ya kuweka mezani tena maboresho kwenye mjadala huu wa kanuni anaendelea kuchangia.
 
Heheeeeee ummi mwalimu "maji baridi yakiwa mtungini hukatazwi kuyachota", jamani huuyu mama!!!!!! haya ni za mu ya ummi mwalimu anachangia kwa kuanza na kijembe kwa Lissu, daaaa, haya bwana wacha tumsikilize...
 
Ummi anamaliza sasa ni zamu ya sendeka lakini anaungana na mwalimu kwa asilimia zote kwenye hoja zake alizowasilisha.
 
Yasije yakazuka mengine, saa ingine utani haifai.
 
Julius Mtatiro, msubufu sana kwa serikali tangu akiwa DARUSO lakini ni mtu mwenye hoja mwiba sana linapokuja suala la kutetea maslahi ya wananchi, sasa yuko hewani tumsikilize...
 
Hawa akina
Sendeka, ummy na kundilao wamegeuza hili bunge maalÙm kuwa cc ya ccm.

Uchangiaji wao unafanya mambo yawe yakiccm.. m
 
Hawa akina
Sendeka, ummy na kundilao wamegeuza hili bunge maalÙm kuwa cc ya ccm.

Uchangiaji wao unafanya mambo yawe yakiccm.. m

Yaani akisimama ummi kuchangia, sendeka anasapoti, hali kadhalika akisimama sendeka, ummi anasapoti, lakini ndo mchakato wa katiba na viroja vyake, wacha tuwasikilize tutaelewana tu hatimaye.
 
Hawa akina
Sendeka, ummy na kundilao wamegeuza hili bunge maalÙm kuwa cc ya ccm.

Uchangiaji wao unafanya mambo yawe yakiccm.. m

Hv hujuwi ccm ndio iliyokufanya leo uongee haya?
 
Uko sahihi ila nadhani ni sahihi zaidi kama angekua Waziri Mkuu ili Taifa liongeze kasi ya ukuaji wa kiuchumi ukizingatia Waziri Mkuu ndiye msimamizi na mtendaji mkuu wa shughuli za serikali. Umepata picha ya ninachikimaanisha mkuu?

Ndiyo huyu huyu kamanda wetu,mwenyekiti wa ccm anapenda kumbeza kweli. Kweli rais ufahamu wake anajijua mwenyewe.
 
Hawa akina
Sendeka, ummy na kundilao wamegeuza hili bunge maalÙm kuwa cc ya ccm.

Uchangiaji wao unafanya mambo yawe yakiccm.. m
Tatizo liko hapo. Misimamo ya vyama haisaidii wakati mwingine. Kwa mfano kama ikitokea wale wakang'ang'ania kupiga kura ya wazi na wale wanaotaka wasitaka kura wa wazi wakaamua kususia kupiga kura itakuwaje? Si hii iakuwa ni hasara kwa nchi?
 
Back
Top Bottom