Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Tatizo liko hapo. Misimamo ya vyama haisaidii wakati mwingine. Kwa mfano kama ikitokea wale wakang'ang'ania kupiga kura ya wazi na wale wanaotaka wasitaka kura wa wazi wakaamua kususia kupiga kura itakuwaje? Si hii iakuwa ni hasara kwa nchi?

Haloo, naomba unihurumie, usinikumbushe maumivu ya kutafunwa hovyo kwa kodi zangu kupitia VAT, PAYE, nk nk
 
Dr Tulia Ackson anajiamini sana. Hakika huyu dada ni hazina kwa taifa hili. Kuna anayefahamu huyu mama anafanya wapi kazi?
 
Dr Tulya Apson anajiamini sana. Hakika huyu dada ni hazina kwa taifa hili. Kuna anayefahamu huyu mama anafanya wapi kazi?

Ngoja nicheki kwanye rejea zangu hapa nikipata ntakujuza
 
hizi habari za kula ya wazi sitaki kabisa kuzisikia wakuu sijui kwanini ccm wanai ng'ania hii kitu ya kura ya wazi
 
Haloo, naomba unihurumie, usinikumbushe maumivu ya kutafunwa hovyo kwa kodi zangu kupitia VAT, PAYE, nk nk

mkuu si unakumbuka madhara ya chadema kutoka kwenye kile kikao cha bunge la miswada mpaka Leo ile issues inatukosite
 
hizi habari za kula ya wazi sitaki kabisa kuzisikia wakuu sijui kwanini ccm wanai ng'ania hii kitu ya kura ya wazi
Mkuu, siamini kama suala hiloni la ccmbali ni la watu fulani. Tuvumilie ili kamati ya Mashauriano ilitafutie ufumbuzi wa jambo hilo
 
Tukifika 37 hapo ndipo tutakapo juta maana makombora na lazima zote za ccm zimeelekezwa kualazimisha uwazi wakura ikumbukwe teyari

-wanahabari wamesha ch akatuliwa kwa kulazimisha ili matendo machafu ya kulazimisha na kupotosha tusilewe wanavyoyatekeleza.
-Attendance kushiriki bunge wamelazimisha kwamacho kama inafika nusu ya ujumla wao bilakujali uwepo wa wazanzibari

-maamuzi ya two third zanzibar na two thirdi katika mambo mengine ccm wamefanikiwa kuchomoa isipoku tu itatumika kwenye final decision.

-sasa misile zinapasha kutoka
Tam ccm

1. Sendeka
2. Ummy
3. Serukamba
4. Simbachawene
5. Kigwangala
6. Pindichana

Ngojeen uchafuzi wa hawa jamaa maana nibalaa na kulazimisha

e %

,
 
Dr Tulia Ackson anajiamini sana. Hakika huyu dada ni hazina kwa taifa hili. Kuna anayefahamu huyu mama anafanya wapi kazi?

Naam mkuu nimerejea baada ya kuzipata rejea zangu, jina lake anaitwa Dr. Tulia Ackson (si kama ulivyoandika), anafanya kazi chuo Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama Mhadhiri mwandamizi (Senior Lecturer) kitivo cha sheria (Faculty of Law), pia ni Associate Dean, University of Dar es Salaam School of Law.
 
wakipitisha kura ya siri, wajumbe wasio kubaliana na hayo wasusie hilo bunge, kwani kura ya wazi si kwania ya kukuza demokrasia bali ni njia ya kuwatisha wasio fuata msimamo wa chama, wajumbe hawapo hapo kupitisha katiba ya chama bali ya tanzania
 
Tukifika 37 hapo ndipo tutakapo juta maana makombora na lazima zote za ccm zimeelekezwa kualazimisha uwazi wakura ikumbukwe teyari

-wanahabari wamesha ch akatuliwa kwa kulazimisha ili matendo machafu ya kulazimisha na kupotosha tusilewe wanavyoyatekeleza.
-Attendance kushiriki bunge wamelazimisha kwamacho kama inafika nusu ya ujumla wao bilakujali uwepo wa wazanzibari

-maamuzi ya two third zanzibar na two thirdi katika mambo mengine ccm wamefanikiwa kuchomoa isipoku tu itatumika kwenye final decision.

-sasa misile zinapasha kutoka
Tam ccm

1. Sendeka
2. Ummy
3. Serukamba
4. Simbachawene
5. Kigwangala
6. Pindichana

Ngojeen uchafuzi wa hawa jamaa maana nibalaa na kulazimisha

e %

,

..........duuuuu missiles!
 
Wanasema, sikio halizid kichwa! Sometime inabidi ukubaliane na ukweli.

Tundu lissu ana uwezo ktk haya mambo ya kisheria! angepaswa kupewa jukumu fulani la kisheria ktk taifa hili badala y kuachwa kuwa anafanya kazi ya kukosoa govt vivyo hivyo kwa prof lipumba ktk masuala ya kiuchumi!
 
Haloo, naomba unihurumie, usinikumbushe maumivu ya kutafunwa hovyo kwa kodi zangu kupitia VAT, PAYE, nk nk

Mkuu Skype,
Si wewe pekee mwwenye maumivu ukiyafikiria hayo, ni kila karibu kila mtu mpenda mabadiliko wa nchi hii. Piga hesabu hivi, wabunge wote wa bunge la katiba na watumishi wengine muhimu kwa bunge hili wawe tu jumla ya watu 650. zidisha hiyo 650 x per day tsh 300,000/= utapata jibu kuwa tsh 195,000, 000/= zinatumika kwa siku moja Kisha jumlisha matumizi mengine ya siku kama umeme, maji, makaratasi na mengineyo. Bila shaka itapita zaidi ya milioni 200 kwa siku

Ukitaka upate presha sasa zidisha hiyo zaidi ya 200 mills kwa siku zilizokwishapita hatafu jumlisha na siku 70 zilikusudiwa. Utakuta ni zaidi tsh 22,400, 000, 000/=. Uuuuuuuwiiiiii.
 
wakipitisha kura ya siri, wajumbe wasio kubaliana na hayo wasusie hilo bunge, kwani kura ya wazi si kwania ya kukuza demokrasia bali ni njia ya kuwatisha wasio fuata msimamo wa chama, wajumbe hawapo hapo kupitisha katiba ya chama bali ya tanzania

Maccm hawaelewi hilo.
 
Back
Top Bottom