Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo liko hapo. Misimamo ya vyama haisaidii wakati mwingine. Kwa mfano kama ikitokea wale wakang'ang'ania kupiga kura ya wazi na wale wanaotaka wasitaka kura wa wazi wakaamua kususia kupiga kura itakuwaje? Si hii iakuwa ni hasara kwa nchi?
Dr Tulya Apson anajiamini sana. Hakika huyu dada ni hazina kwa taifa hili. Kuna anayefahamu huyu mama anafanya wapi kazi?
Haloo, naomba unihurumie, usinikumbushe maumivu ya kutafunwa hovyo kwa kodi zangu kupitia VAT, PAYE, nk nk
Mkuu, siamini kama suala hiloni la ccmbali ni la watu fulani. Tuvumilie ili kamati ya Mashauriano ilitafutie ufumbuzi wa jambo hilohizi habari za kula ya wazi sitaki kabisa kuzisikia wakuu sijui kwanini ccm wanai ng'ania hii kitu ya kura ya wazi
Dr Tulia Ackson anajiamini sana. Hakika huyu dada ni hazina kwa taifa hili. Kuna anayefahamu huyu mama anafanya wapi kazi?
Sendeka kampa bonge ka promo tundu........duuuuuu
Hv hujuwi ccm ndio iliyokufanya leo uongee haya?
Tukifika 37 hapo ndipo tutakapo juta maana makombora na lazima zote za ccm zimeelekezwa kualazimisha uwazi wakura ikumbukwe teyari
-wanahabari wamesha ch akatuliwa kwa kulazimisha ili matendo machafu ya kulazimisha na kupotosha tusilewe wanavyoyatekeleza.
-Attendance kushiriki bunge wamelazimisha kwamacho kama inafika nusu ya ujumla wao bilakujali uwepo wa wazanzibari
-maamuzi ya two third zanzibar na two thirdi katika mambo mengine ccm wamefanikiwa kuchomoa isipoku tu itatumika kwenye final decision.
-sasa misile zinapasha kutoka
Tam ccm
1. Sendeka
2. Ummy
3. Serukamba
4. Simbachawene
5. Kigwangala
6. Pindichana
Ngojeen uchafuzi wa hawa jamaa maana nibalaa na kulazimisha
e %
,
Hv hujuwi ccm ndio iliyokufanya leo uongee haya?
Wanasema, sikio halizid kichwa! Sometime inabidi ukubaliane na ukweli.
Acha ukuda wewe mwanadada,ccm siyo MUNGU ila ni lishetani tu.
Haloo, naomba unihurumie, usinikumbushe maumivu ya kutafunwa hovyo kwa kodi zangu kupitia VAT, PAYE, nk nk
wakipitisha kura ya siri, wajumbe wasio kubaliana na hayo wasusie hilo bunge, kwani kura ya wazi si kwania ya kukuza demokrasia bali ni njia ya kuwatisha wasio fuata msimamo wa chama, wajumbe hawapo hapo kupitisha katiba ya chama bali ya tanzania