HahaaaaaaHanioni bhana ....me wala simsumbui bi mkubwa hata jina lake silijui na sitaki kulijua tuuu na wala huyo Mr sijawahi kumuuliza chochote kuhusu bi mkubwa .....me nnachosubir mwisho wa mwez nione text ya nmb mobile kwamba nimepokea sh ngapi basi ....hayo mengine wamalizane wenyewe
Nimemuelewa Hamisa ,huyu sometimes ana logicNgoja tupunguze stress za vyuma kidogo maana hali tete kila siku wikiendi hii mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Jana ilianza hivi mambo ya Iyena hayoo...
Leo diamond kaamua kujibu
Haitoshi hamisa Leo bubu kaamua kaamua kusema
Daah!hongera diamond and your family mnajua kucheza na akili zetu watanzania
Na hizi stress za Magu na hali ngumu acha umbea ututawale ili tujifariji kimaisha!View attachment 792040View attachment 792041View attachment 792042View attachment 792043View attachment 792044View attachment 792045View attachment 792046View attachment 792047View attachment 792048
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Usijifanye una Akili kuliko hao mods Unajua maana ya celebrities forum au unataka Kila saa watu wajadili siasa zenu za maji taka?? Unaidharau fb wakati hiyo platform ya jf wana account hukoo.........
Watu wakujipendekeza na kuingilia maugomvi hawakosekanagii,,wema hapo anamuonea misa wivu na dai hana ahabari naeMganda ndio aliwaweza. Isingekua drama za diamond mganda wangepambana chezea iddi amini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sepenga kaona ajipendekeze tu ili awe nao vizuri.
Hamisa alikua anamsema wema watu wakamrekodi wakamfikishia wema. Tangu hapo ndio chuki zikaanza.Watu wakujipendekeza na kuingilia maugomvi hawakosekanagii,,wema hapo anamuonea misa wivu na dai hana ahabari nae
Ndio kimbelembele kujiingiza kwenye maugomvi,,mama dangote hamjasema wema vibaya esma jee,,Hamisa alikua anamsema wema watu wakamrekodi wakamfikishia wema. Tangu hapo ndio chuki zikaanza.
Ndo nchi yetu ilivyo lakini wanalipwa ujue hvyoo...kutukana na maboss zaoTanzania is one among the funniest country to live in...watuwanapenda sana udaku..huwezi kuamini watu wanashinda mitandaoni wanatukanana matusi ya nguoni kisa flani amuoe nani..!!
Hana meno yule ogopa mwanaume aliyeyelewa na mama peke yake!Ila daimond ndie anaefanya hamisa anakuwa hivyo hawi mkali,mimi kwenye mahusiano yangu ndugu lazima tuheshimiane kabisa na mipaka iweko uzuri wanaume husimamia hilo wanaojilewa lakini