Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Hanioni bhana ....me wala simsumbui bi mkubwa hata jina lake silijui na sitaki kulijua tuuu na wala huyo Mr sijawahi kumuuliza chochote kuhusu bi mkubwa .....me nnachosubir mwisho wa mwez nione text ya nmb mobile kwamba nimepokea sh ngapi basi ....hayo mengine wamalizane wenyewe
Hahaaaaaa
 
Ngoja tupunguze stress za vyuma kidogo maana hali tete kila siku wikiendi hii mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Jana ilianza hivi mambo ya Iyena hayoo...

Leo diamond kaamua kujibu

Haitoshi hamisa Leo bubu kaamua kaamua kusema

Daah!hongera diamond and your family mnajua kucheza na akili zetu watanzania

Na hizi stress za Magu na hali ngumu acha umbea ututawale ili tujifariji kimaisha!View attachment 792040View attachment 792041View attachment 792042View attachment 792043View attachment 792044View attachment 792045View attachment 792046View attachment 792047View attachment 792048
Nimemuelewa Hamisa ,huyu sometimes ana logic
 
Usijifanye una Akili kuliko hao mods Unajua maana ya celebrities forum au unataka Kila saa watu wajadili siasa zenu za maji taka?? Unaidharau fb wakati hiyo platform ya jf wana account hukoo.........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hamisa anawalea jamani ,mim ningewazabua ningeanza na mama dangote nikamzaba haswa akiwa peke yake hakuna ushahidi,,halaf namalizia kwa esma nakuwa namchamba mpaka akome,,maana hawana adabu kila mwanamke akiwa na daimond akiachika ndio anakuwa mzuri,hii familia wachawi
 
Mganda ndio aliwaweza. Isingekua drama za diamond mganda wangepambana chezea iddi amini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sepenga kaona ajipendekeze tu ili awe nao vizuri.
Watu wakujipendekeza na kuingilia maugomvi hawakosekanagii,,wema hapo anamuonea misa wivu na dai hana ahabari nae
 
Tanzania is one among the funniest country to live in...watuwanapenda sana udaku..huwezi kuamini watu wanashinda mitandaoni wanatukanana matusi ya nguoni kisa flani amuoe nani..!!
 
Ila daimond ndie anaefanya hamisa anakuwa hivyo hawi mkali,mimi kwenye mahusiano yangu ndugu lazima tuheshimiane kabisa na mipaka iweko uzuri wanaume husimamia hilo wanaojilewa lakini
 
Tanzania is one among the funniest country to live in...watuwanapenda sana udaku..huwezi kuamini watu wanashinda mitandaoni wanatukanana matusi ya nguoni kisa flani amuoe nani..!!
Ndo nchi yetu ilivyo lakini wanalipwa ujue hvyoo...kutukana na maboss zao
 
Hamisa alikua anamsema wema watu wakamrekodi wakamfikishia wema. Tangu hapo ndio chuki zikaanza.
Wote wanafiki tu!si Wema si Hamisa sema Wema kimemuuma mno Missa kuzaa na mondi!
 
Ila daimond ndie anaefanya hamisa anakuwa hivyo hawi mkali,mimi kwenye mahusiano yangu ndugu lazima tuheshimiane kabisa na mipaka iweko uzuri wanaume husimamia hilo wanaojilewa lakini
Hana meno yule ogopa mwanaume aliyeyelewa na mama peke yake!
 
Alafu jitu kama Lemutuz linajiita King of social media... Diamond ajiiteje???
 
Back
Top Bottom