Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Wamechoka kufanya unafki mwezi mmoja, hahaaa,,mana wafungaji wengi wanakuaga wastaarab mwezi mmoja tu
Yaani wale Mungu amewaondoa haya usoni mwao!

Hakuna funga wale!bora washinde njaa tu kama miye hapa!
 
Habari njema hatimaye...ila kuwa macho usije kuwa kama bimkubwa (kipofu) Japo kwako sina Shaka maana umepitia na kufudhu huko kwa viwango
Me ni mwelewa mnooooo kila kitu kitakua sawa
 
Kwani diamond si ni mama's boy? Au mpaka aanze kuvaa sketi
 
Yaap na huo ndio ukweli wenyewe....! Maana kama ingekua ni kweli wasingeweza kujianika namna hiyo, unless kama hamnazo
 
Tatizo la wanawake tunapenda kuonekanaaa ......huo ndo mwanzo wa kula mashauzi yako

Utofauti wako na hamisa ni kuwa bwana ako ameoa ila diamond ni msela ana ruhusa ya kut..mba amtakaye.
So sijaliona bado kosa la hamisa ila niliona kwako wewe mla vya watu......
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hii michambo naona kama ndio mashairi ya IYENA au macho yangu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Bongo fleva shikamooo
 
Hii familia huwa siwaelewi,wabembe walio wahi mjini huwa wana behave Kama wazaramo tu..kutwa wanapenda kweli kusutana.
 
 
Amen,usijisikie vibaya Ila ni changamoto tu nimekupa.Alikuwepo bingwa wa taarifa kama hizi humu alijiita warumi,alipotea.Nakupenda pia wala sikuchukii.Barikiwa nawe.
Umewahi soma article ya mgawanyo wa Aina 3 za watu na akili zao?
Usijifanye una Akili kuliko hao mods Unajua maana ya celebrities forum au unataka Kila saa watu wajadili siasa zenu za maji taka?? Unaidharau fb wakati hiyo platform ya jf wana account hukoo.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…