Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hapo ndipo vagi litaanza
Habari njema hatimaye...ila kuwa macho usije kuwa kama bimkubwa (kipofu) Japo kwako sina Shaka maana umepitia na kufudhu huko kwa viwangoAaaah process znaendelea ntakua bi mdogo rasmi mungu akijaalia inshaallah
Unakaa mbweni Miti mitatu nini?Njia panda ya ulaya
Me ni mwelewa mnooooo kila kitu kitakua sawaHabari njema hatimaye...ila kuwa macho usije kuwa kama bimkubwa (kipofu) Japo kwako sina Shaka maana umepitia na kufudhu huko kwa viwango
Na wengine wangekuwa waelewa ka ww.. Dunia ingekuwa Mahala pazuri zaidi pa kuishiMe ni mwelewa mnooooo kila kitu kitakua sawa
Kama ataanza ugonvi yeye na atamaliza yeye me wala sithubutu kumjibu nadeal na ndoa yangu tuUgomvi utaanzia hapo!
Ndivyo nilivyoona na mie ila mwenzetu yy ni muelewa....Ugomvi utaanzia hapo!
Kwani diamond si ni mama's boy? Au mpaka aanze kuvaa sketiHakuna wife material hata mmoja hapo.
Ningekuwa mimi ndio domondi ningepiga chini wote na kwenda kuoa msichana ambaye kila mtu asingeamini.
Halafu it's time now domondi akuwe na abadiliki. Haingii akilini hata kidogo mtoto wa kiume ukawaruhusu mama na dada zako wakaingilia mambo yako ya chumbani, unless your mama's boy .
Yaap na huo ndio ukweli wenyewe....! Maana kama ingekua ni kweli wasingeweza kujianika namna hiyo, unless kama hamnazohii ni business.
. wanacheza na akili za watanzania tu..
na wanajua tunapenda umbea sana... ndio wanautengeneza umbea...
zari ni business lady, hamisa nae amefundishwa vya kufanya.. na analipwa pia, wema nae analipwa pia,
esma nae anaambiwa cha kufanya.. na mama dangote pia anaambiwa cha kufanya..
mnajua kwa nini kina kardashians ni matajiri...
wasafi wanaelekea huko kwa tv reality show
Tatizo la wanawake tunapenda kuonekanaaa ......huo ndo mwanzo wa kula mashauzi yako
Ngoja tupunguze stress za vyuma kidogo maana hali tete kila siku wikiendi hii mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Jana ilianza hivi mambo ya Iyena hayoo...
Leo diamond kaamua kujibu
Haitoshi hamisa Leo bubu kaamua kaamua kusema
Daah!hongera diamond and your family mnajua kucheza na akili zetu watanzania
Na hizi stress za Magu na hali ngumu acha umbea ututawale ili tujifariji kimaisha!View attachment 792040View attachment 792041View attachment 792042View attachment 792043View attachment 792044View attachment 792045View attachment 792046View attachment 792047View attachment 792048
Usijifanye una Akili kuliko hao mods Unajua maana ya celebrities forum au unataka Kila saa watu wajadili siasa zenu za maji taka?? Unaidharau fb wakati hiyo platform ya jf wana account hukoo.........Amen,usijisikie vibaya Ila ni changamoto tu nimekupa.Alikuwepo bingwa wa taarifa kama hizi humu alijiita warumi,alipotea.Nakupenda pia wala sikuchukii.Barikiwa nawe.
Umewahi soma article ya mgawanyo wa Aina 3 za watu na akili zao?