Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mkuu umeelewa kweli...Trump kashaanza kulalamikia wizi
haaaa, haitatokea sahau machafuko hutegemea native ,wahindi wekundu hawapo Tena .sahau unalootaKama demokrasia hakuna itashindikanaje wizi ila nisiwe mnafiq napenda marekani itokee civil war kwakweli
Hapa marekani jimbo la Tukuyu makada wa chama washaondoka na masanduku ya kupigia kura wakati mstari umejaa watuTrump kashaanza kulalamikia wizi
Kasoma upepo huyoTrump kashaanza kulalamikia wizi
Kivipi?Ashinde asishinde kauli yangu ni moja tu..
Ni mgombea dhaifu na atashusha hadhi ya Marekani
Una hiyo hela chief?
TUKANA UONE ...😂😂😂Akishinda nifuate pm mkuu utanipa namba nikutumie 1 M
Hii ni ahadi yangu kwangu!
Republican walifanya kosa walilofanya chadema 2015.,kuliweka " kapi " kuwa mwakilishi wa chama kwenye uchaguzi muhimu
Sawa ila walau naota ndoto njemahaaaa, haitatokea sahau machafuko hutegemea native ,wahindi wekundu hawapo Tena .sahau unaloota
Ahahaha na Samaki hawakukielewa mwezi mzima!!Mkuu umeelewa kweli...
Kweli kiingereza kilipanda meli
Wanakamuana kimyakimyaTrump kashaanza kulalamikia wizi
Kama demokrasia hakuna itashindikanaje wizi ila nisiwe mnafiq napenda marekani itokee civil war kwakweli
Vumilia dawa isambaeK wewe!
Sio kweli, Marekani una shinda kwa kura.Kura zinahalalisha anaetakiwa awe namba Moja na sio zinaamua akaliae kiti!
Anaekalia kiti alishaandaliwa kukalia hicho kiti kabla ya kura kupigwa!
Hata huku kwetu Hali ni hiyo hiyo!