Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Hatujisikii Aibu matokeo ya Uraisa Marekani yanapatikana Hadi Instagram na kila mtu hata wa kijijini unaweza kutoa maoni na muelekeo
 
Well it’s because you are ambitious and have pre determined election results in your head.

Your wishes might granted, it won’t be because of science but purely luck at this point; given the ‘exit poll’.
Achana na islam anti-israel brainwashed terrorist huyo atakusumbua ..ana mihemko.
 
Trump ashinde bana, wavaa makobaz wametusumbua sana....
 
Huyo bibi mara leo awe Black, Kesho awe muhindi, Kesho kutwa arudi white!, Akalime matembele sasa!
 
Udini tuu mpuuzi wewe, results ni as expected, huwezi kutegemea Kamara ashinde West Virginia au Trump ashinde New York, matokeo bado mpaka uanze kuona Pa, Michigan or Wisconsin..tulia

Dini unazisoma wapi mburula wewe?
 
Achana na islam anti-israel brainwashed terrorist huyo atakusumbua ..ana mihemko.

Kutokumwunga mkono mwisiraeli hakumfanyi mtu kuwa mwislamu au na hata kuwa terrorist.

Shule yako tafadhali.

Bila shaka utakuwa jinga kweli kweli na ulipo uko brainwashed chapa chapa, umeaminishwa Israel ni taifa teule lenye haki ya kukufanya lolote!

Mayor Quimby aina ya yale makapuku yenye kudhani yana ujuzi wa ziada jf humu, ndiyo kama haya sasa.

Bure kabisa!
 
Niite braza Joseph ukiniita braza juma labda kama ni kuni tarai.

Wengine sisi maparoko ndugu yangu, tumaini letu ni kwa bwana.

Nadhani umenisoma, au siyo ndugu yangu?
Kwa hiyo wewe unaitwa bulaza "Hozee"?
 
Salaleh yaani umeniweka kwenye kundi la watu wa hovyo. Ngoja nilale kwanza huku nikitafakari kauli yako ya madharau.

Any way all the best, kwasasa.
 
Mpaka Sasa Trump lina 154 Kamaala ana 30 Trump anahitaji 116 tu atangazwe Hii imeeeendaaa Hiii imeenda kabisaaa.


Kamala angetuletea Vita ya Dunia hana mtoto hajui uchungu wa kuzaa aende kijijini huko asitusumbue..
 
Mpaka Sasa Trump lina 154 Kamaala ana 30 Trump anahitaji 116 tu atangazwe Hii imeeeendaaa Hiii imeenda kabisaaa.


Kamala angetuletea Vita ya Dunia hana mtoto hajui uchungu wa kuzaa aende kijijini huko asitusumbue..

Dalili njema huonekana asubuhi.

Alipo fulu kimuhe muhe!
 
Much as i would love to witness the collapse of USA but on this fron Trump is winning!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…