Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Habari wadau humu?

Kwa burudani tu ,tuwekeni utabiri wa raisi ajaye USA kwa kuandika jina lake kwa thread hii then tufuatilie world news!!

Just for fun
 
kama hukufatilia mtanange wa urusi ni wewe
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Yakiwa yamebaki masaa machache sana ili uchaguz ufanyike nchini Marekani

Mimi pia naona kwamba yamebakia masaa machache sana pia ili ndugu yangu Donald trump aweze kutangazwa mshindi wa urais wa America

Mimi namtakia ushindi mwema
Mimi namtakia Urais mwema
Mimi namtakia awamu njema
Mimi namtakia maisha

Asanten

Beira boy
Nanyupu

PIA SOMA

- Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa
 
Kamala anaweza kuukwaa usamia kwa taarifa yako sasa.
 
Trump Hana nia njema na watu wenye asili ya afrika ,ndiyo maana katika utawala wake kulikuwa na matukio mengi ya watu wa asili ya afrika kuawa na polisi Marekani na serikali Ku to jari
 
Pamoja sana kijana, nitashinda kwa kishindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…