Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Kwaninwamarekani wenyewe wanamuitaje. Black, white, hispanic, indian? Au ushawai sikia wanamuita mtu half cast mkuu🤣
Sio issue ya watu kumuita ni issue ya fact.Mtu aliyezaliwa na Mama mzungu na Baba Mweusi huwezi sema huyo.mtu ni mweusi sababu ana mchanganyiko wa rangi 2 tofauti.
 
Marekani anzeni na Kamala kumrudisha nyumbani akalee wajukuu,Sisi 2024 mama Abdul tunampiga chini saa 12 asubuhi.
 
Ni kweli bosi, ila kwenye mifumo dume hata kama baba kwenye nyumba kazi yake kuvaa suruali tu ila kama nyumba ina Baba inaheshimika hata kama mama ndiyo bread winner wa familia. Lijue hilo na ndicho nilimaanisha
Ila vitu vingine sio poa yaani nchi inaongozwa na mtu amevaa SHANGA kiunoni?Hii sio sawa
 
President-elect.

IMG_6718.jpeg
 
Sio issue ya watu kumuita ni issue ya fact.Mtu aliyezaliwa na Mama mzungu na Baba Mweusi huwezi sema huyo.mtu ni mweusi sababu ana mchanganyiko wa rangi 2 tofauti.
Kwenye communities za us , mixed, au half cast haipo, labda useme kwanini obama yumuite black na sio white. Suala la mixed bado hawajaliamua kule
 
Namuita black kwasababu wamarekani wenzake wanamuita black, hata yeye mwenyewe kakubaliana na hilo "african america"

Kwasasa ibaki hivo japo kunakuaga na debate kuna watu wanahoji mfano wale wazungu wa southafrica wakichukua uraia wa marekani wataitwa "african american?" Nikiipata ile clip ntaiattach

Kwa muda huu wamerakani wanasema obama ni black wa kolomije
Elon Musk ni African-American
 
Faida kwa Russia maana anakalia eneo kubwa la Ukraine, isitoshe Ulaya pekee haiwezi kuisaidia Ukraine kuendeleza vita.

Ila kule Gaza naogopa Wapalestina wasije wakakandamizwa zaidi.
waukraine kukandamizwa sawa lakin wapalestina aah!
 
Back
Top Bottom