Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Kamala ilibidi aongee leo lakini team yake ikasema ataongea kesho hivyo watu warudi kulala, hii ni kama madrid walizima safari ya paris dakika za jioni
 
Nimeipenda spirit ya Trump, amepitia vikwazo vingi sana lkn hajui kukata tamaa
Kapotia vikwazo jmaa vingi! Yaani pamoja na utajiri wake alionao angeamua aachane na hayo mambo..Lakini ni mtu mwenye maono huyo!
Hakika mtu yeyote akifuata Maono yake haijalishi ni changamoto zipi unapitia iwe kulala njaa, dharau, manyanyaso..Hawa huwa wanatoboa na huwa wanakua strong sana kwenye utawala wao.
 
Kwani ndio mara ya kwanza kuingia madarakani huyu trump
Halafu wakati kambi ya kijeshi ya marekani pale iraq inashambuliwa huyo jamaa alifanya nini?

Naona mmekaa kwa kutafuta pa kukimbilia na hamna mtakapo papata
Na israhell itapigwa chini ya huyo huyo trumpet na hatakua na lakumfanya iran
 
💪💪🎺 Trumpet
 

Attachments

  • Screenshot_20241106-093203_1.jpg
    Screenshot_20241106-093203_1.jpg
    206.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom