Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Faida kwa Russia maana anakalia eneo kubwa la Ukraine, isitoshe Ulaya pekee haiwezi kuisaidia Ukraine kuendeleza vita.

Ila kule Gaza naogopa Wapalestina wasije wakakandamizwa zaidi.
Kwa upande mwengine ni faida kwa Ukraine kulingana na kwa muktadha uliyouandika.

Kwa maana nyengine Ukraine ingemegwa zaidi kuliko ilivyo sasa!

Ijapokuwa ni faida kwa Russia ila ni nafuu kwa Ukraine.
 
arab americans walichofanya ni kwamba trump tumekupa kura, usizembee kama walivyozembea kina biden na kamala. mambo yawaendee kama wanavotarajia tu
 
Wisconsin kwa Trump 🤣.
1730876253017.png

Hata Trump aje na uatawala wa nguvu na unyanyasaji mimi nipo na yeye tu, kutawaliwa na mwanamke ni status mbaya sana kwenye Jamie

Trump oyeeeeehh
Tuanze kuandaa Choma na BIA sio?
 
Live updates

Trump rasmi keshavuka margin ya electoral college votes kwa kura 7 zaidi

Kamala harris - 226
Donald trump - 277

Sasa ni rasmi DONALD TRUMP IS A US NEW PRESIDENT
 
Back
Top Bottom