Hata huko UK wananchi ndio huchagua viongozi, sio vyombo vya usalama
Unacheza wewe, ni siasa za vyama tu huko ndio wanaweza teua watu kama Rish Sunak au Kemi Badenoch.
The only way PM atakuwa coloured person ni wagombea wa vyote vikubwa Conservative, Labour na spare part (Liberal) wawe coloured; vinginevyo hiko kitu ni impossible.
Hata Jew ashindi kwao conservative washaweka ‘Michael Howard’ na labour washaweka ‘Ed Milliband’.
Una mitazamo tofauti na national security kama ‘Jeremy Corbyn’ ushindi.
Umetwaa madaraka huko mbele ukawa tatizo kwa national security kama ‘Boris Johnson’ na rafiki yake mrusi ‘Evgeny Lebedev’ alielazimisha awe, Lord wanakutoa.
Jamaa wana mbinu za influence kupitia media propaganda na majasusi waliojaza kwenye vyama vya siasa. PM wa sasa na Chancellor wake kabla ya siasa washakuwa senior civil servants (maana yake ni usalama wa taifa). Hao watu wapo kila chama wakitaka watu wao waanzishe fujo kwenye vyama wapo; halafu wao wanamalizia kwenye propaganda.
Usalama wa US hawamkubali Trump kabisa, hadi kushinda wameonyesha weaknesses zao. Biden ilikuwa wazi ana psychology limitations long time kutokana na umri wake.
Ilitakiwa wapange watu wao mapema kum-challenge asigombee. Wameachia mpaka too late wakati Kamala ushindi wake binafsi sikuwahi kuamini hata kama Trump usalama wao hawakuwa wakimkubali. Mpaka navyoongea Trump kabakiza college 24 awe raisi, kushindwa itakuwa miujiza.
Lakini kwa U.K. mtu kama Trump ambae vyombo vya ulinzi vinadhani akili zake ni threat to national security au atawapa usumbufu kwenye kum-mudu atoboi, jamaa wapo vizuri.