Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)

Results are only viewable after voting.
Kwa upande mwengine ni faida kwa Ukraine kulingana na kwa muktadha uliyouandika.

Kwa maana nyengine Ukraine ingemegwa zaidi kuliko ilivyo sasa!

Ijapokuwa ni faida kwa Russia ila ni nafuu kwa Ukraine.
Nafuu ipi mkuu.... kumbuka lengo la Biden ilikuwa kuizuia Urusi isishinde na kujitanua zaidi....kwa Sasa kuna uwezekano Ukraine ikalazimishwa kukubali kuachia sehemu ya ardhi yake Ili amani iwepo.
 
Unataka kusema taifa la USA limetajwa kwenye bibilia yenu
Neno la Mungu ni wewe uamue kulifuata ama vinginevyo, halibagui taifa, mtu wala kabila

Mkilichukua kama Taifa kuendeshea nchi yenu ni baraka

Hata wewe ukiamua kuliishi, unabarikiwa
 
Nafuu ipi mkuu.... kumbuka lengo la Biden ilikuwa kuizuia Urusi isishinde na kujitanua zaidi....kwa Sasa kuna uwezekano Ukraine ikalazimishwa kukubali kuachia sehemu ya ardhi yake Ili amani iwepo.
Sasa wameweza kumzuia?

Kama tangu awali walimsaidia vya kutosha na bado 20%+ ya nchi ilikwenda?
 
Sasa wameweza kumzuia?

Kama tangu awali walimsaidia vya kutosha na bado 20%+ ya nchi ilikwenda?
Tatizo walichelewa kumpa silaha alizohitaji na baadae walimpa kidogo Sana kwa kuchelewa.

Mpaka sasa kuna silaha wamegoma kumpa na zingine wamempa kwa masharti.
 
Capture.PNG

Trump
 
Tatizo walichelewa kumpa silaha alizohitaji na baadae walimpa kidogo Sana kwa kuchelewa.

Mpaka sasa kuna silaha wamegoma kumpa na zingine wamempa kwa masharti.
Kabla ya mgogoro wake na Russia, Ukraine ilikuwa na kiwango gani cha silaha? Na kijeshi barani ulaya ilikuwa ya ngapi?
 
Back
Top Bottom