Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Econometrician NgorundeHii ndo mijadala sasa. Japo Wanasema musk ni white 🤣. Nimeliongelea hili hapa
View: https://youtube.com/shorts/YJAIq2rDCQU?si=MeBd6xoXIbIW9-tJ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Econometrician NgorundeHii ndo mijadala sasa. Japo Wanasema musk ni white 🤣. Nimeliongelea hili hapa
Sidhani kama zitafutwa kirahisi hivyo, ila kumtia hatiana ndio itakuwa vigumu.Aah ni ngumu
Kapotia vikwazo jmaa vingi! Yaani pamoja na utajiri wake alionao angeamua aachane na hayo mambo..Lakini ni mtu mwenye maono huyo!Nimeipenda spirit ya Trump, amepitia vikwazo vingi sana lkn hajui kukata tamaa
Ndio tunataka mnyeeeee vizuri sanaaaKumbe unajua magaidi wa Israel wanahitaji msaada wa magaidi wa USA ili kupambana na Iran?
Hii source gani Iko updated sana ?Live updates
Kamala Harris - 226
Donald Trump - 267
Time: 09:40 am
Africa ipo ukoloni chini ya mwafrika mwenzake ila mlaumu trump hahahAfrica inarudishiwa ukoloni
Na israhell itapigwa chini ya huyo huyo trumpet na hatakua na lakumfanya iranKwani ndio mara ya kwanza kuingia madarakani huyu trump
Halafu wakati kambi ya kijeshi ya marekani pale iraq inashambuliwa huyo jamaa alifanya nini?
Naona mmekaa kwa kutafuta pa kukimbilia na hamna mtakapo papata
Urusi ana unafuu muda mrefu.Urusi walimtaka Trump Ili huko Ukraine wapate nafuu.
haris ana 187 broMpaka saiv n trump ana 247 harrs ana 214 utofauti n 33 mchuano bdo n mkali
WakatubishiaTuliwaambia Trump anashinda...wakuda walitutukana
Sasa 214 kwa 247
Ni mpaka ashinde...Game over! Alaska yenye ECV 3, Trump anashinda.
Jumlisha hizo na 267=270.
Over.
I'm very happy jmn unafikiri Trump ananijuaGame over! Alaska yenye ECV 3, Trump anashinda.
Jumlisha hizo na 267=270.
Over.