Trump ana sifa gani mpaka unasema USA no longer deserve a president like him? Mhalifu?Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani
Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.
China ndio superpower ajaye.
Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.
Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.
Goodbye America, Welcome China.
Trump sio criminal, he was criminalized but he won.Trump ana sifa gani mpaka unasema USA no longer deserve a president like him? Mhalifu?
Unajua siku hizi watu wanasikiliza sana vyombo vya habari kuliko kutumia akili zao. Trump ana makando-kando yake, lakini linapokuja suala la urais, hakuna wa kumfikia hadi sasa.Trump sio criminal, he was criminalized but he won.
Angekua mhalifu usingewaona watu straight & pure kama Dr. Ben Carson wanampigia chapuo
Mhalifu ni Kamala na genge lake lililopo kwenye Epstein list
Harris anamtazami Gani kuhusu Israel?Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani
Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.
China ndio superpower ajaye.
Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.
Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.
Goodbye America, Welcome China.
Kamala na Trump hawatofautiana sana kisera kuhusu Israeli na mahasimu wake, kama ilivyo kule Ukreni.Harris anamtazami Gani kuhusu Israel?
Mi nataka atakayeinhia aisaidie Israel kuipA Vifaa vya kivita basi.
Trump mwenyewe alifaidika na huduma za EpsteinPolicy za Kamala.. hilo somo refu kdg
Pia kamala yupo pale kulinda watu. Trump amesema akirudi madarakani anadeal na Epstein list (Epstein alikua na kesi kama ya pdidy ila wakamuulia jela ili kumzima asije sema waliokuwa washiriki wake, na kwenye hao washiriki hadi billgates, red hoffman, na vigogo wengine wote wamo).
Raisi anaengia kulinda waovu kwenye nchi kubwa kama USA ni janga, hayo mambo ni ya kuyafanyia nchi za kiafrika
Si kuna zile kura za mapema, za posta?Kwani matokeo yameshatoka? Unapingaje kitu ambacho hakipo bado???
Akili kubwa ndio zitakuelewa mkuuMimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani
Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.
China ndio superpower ajaye.
Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.
Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.
Goodbye America, Welcome China.
Tatizo lenu mtanaka trump ashinde uchaguzi ili aje kumpa Russia ushindi alafu baadae mje kuicheka hiyo hiyo USA na NATO hizo ndo akili zenu,Unajua siku hizi watu wanasikiliza sana vyombo vya habari kuliko kutumia akili zao. Trump ana makando-kando yake, lakini linapokuja suala la urais, hakuna wa kumfikia hadi sasa.
Angekuwa mtu mwingine, wala asingekubaliwa hata na chama chake mwenyewe. Marekani sasa kuna syndicate inayojimilikisha na kujiamulia kila kitu kinyume na demokrasia ya umma.
Mfano mzuri ni vita vya Ukreni. Genge la Kamala linata vita viendelee hadi kesho kutwa, wakati ambapo Trump anataka vita viishe haraka iwezekanavyo.
Kwa jambo hilo moja tu, Trump ndiye man of the match kwa sasa!
Story za vijiweni, wanufaika wa epstein wanamuogopa trump kitambo sanaTrump mwenyewe alifaidika na huduma za Epstein
Mchambuzi kutoka vijibweni.. pole na hisia potofu US wanamisingi imara hawamtegemei binadamu kama nuinyi mlivyo pa ushujaa Magu.. pale hata wewe kama upp vyema upstairs wanakupa nafasi.Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani
Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.
China ndio superpower ajaye.
Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.
Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.
Goodbye America, Welcome China.
Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani
Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.
China ndio superpower ajaye.
Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.
Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.
Goodbye America, Welcome China.
Pia soma:
LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
HashindiiMimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani
Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.
China ndio superpower ajaye.
Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.
Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.
Goodbye America, Welcome China.
Pia soma:
LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Hashindiihuyo mama anashinda, ukweli mchungu.
Wala sio za chini chini mkuu ni liveZa chini chini hadi sasa Trump anakimbiza vibaya