Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
View attachment 3143990


Hapo graph ilipoishia ndipo tulipo. USA bado ipo ndio sikatai ila after 10 years itakua ni kama UK tu, unaona UK ilivyo kwa sasa, miaka ya 80s ungemwambia mtu UK itakua hv asingekuamini
China haiwezi kuwa hapo ilipo bila marekani, na Marekani haiwezi kuwa hapo ilipo bila China. Hiyo graph will never change.
 
Kamala hashindi.
 
Aki-deal na Epstein list ataimarisha vipi uchumi wa Marekani.

NB: Mimi ni team Trump, na huu uchaguzi tutashinda
 
U.S ya wapi hiyo atakayoshindia Kamala? Labda U.S waanze leo ku-balance gender kwenye presidential post 😂😂😂
 
Mwenyezi-Mungu aelekeze wamarekani wengi wa Pennsylvania, Michigan, California, Ohio , Arizona , Frolida , Texas , Tennessee, Missouri, Minnesota, Maryland, Massachusetts, New Jersey, Virginia, New York, Illinois na majimbo mengine wampigie kura kwa wingi Donald Trump ashinde na kutawazwa kuwa Rais wa 47 wa USA.
 
Harris anamtazami Gani kuhusu Israel?

Mi nataka atakayeinhia aisaidie Israel kuipA Vifaa vya kivita basi.
Israhell si tumekubaliana inasaidiwa na mungu au mungu kaishiwa na sad na iyon Dom walokole bange mnazo tumia dah
 
Tatizo lenu mtanaka trump ashinde uchaguzi ili aje kumpa Russia ushindi alafu baadae mje kuicheka hiyo hiyo USA na NATO hizo ndo akili zenu,
Kwani miaka yote ambayo Russo alikua ama yupo vitani rahisi alikua nani nakaa chive nini hamna lakumfanya Russia hata ashinde nani
 
Kessy kama za pdidy ndiyo zinaweza kusababisha nchi isiwe superpower?

Hoja za JF siku hizi sizielewi kabisa!
 
Hivi leo si ndio uchaguzi? Mbna hakuna updates yoyote ile hapa?
 
Kesho tukiamka ndio tutaanza wajua washindi kwenye majimbo.
 
Unafikiri raisi nani ataleta chachu ya maendeleo ya america kati ya nguli wa siasa donald trump dhidi ya kamala wanao viwakilisha vyama vyao vya republic na democratic
 
kati ya trump na kamalla, kwa future ya marekani bora ashinde TRUMP, yule maza cheka cheka ataingizwa chaka na wahuni kama anavyoingiza maza yenu huku, na USA itaanza kuwa ya hovyo, isiyotawalika, uhuni utazidi, magenge yatazidi, wahamiaji watazidi,na uchumi utaanza kuathirika, baada ya muda CHINA ana take over u superpower.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…