Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
China haiwezi kuwa hapo ilipo bila marekani, na Marekani haiwezi kuwa hapo ilipo bila China. Hiyo graph will never change.
Unaelewa unachoongea au unaongea ili mradi tu?

Hiohio mentality iliwasukuma USA kuwapiga sanctions Huawei (china) haya umesikia kufuru anazofanya Huawei kwa sasa?
 
Angalau umeelewa

Kuna vilaza humu hata hawawezi kuelewa vitu vya wazi kama hv
 
Marekani kuanguka sio jambo la kesho au kesho kutwa...

Ila hujatuambia Kamala atachangia vipi kuiangusha Marekani.
Trump anachukua.

mfano akipita Kamala na Democrat yake US is fuckedup.
Haijalishi ukubwa wa Uchumi wake, ni dakia za mwisho hata matajiri wenye makampuni makubwa wameuja kugundua hilo, wanatamani wangeona mapema kama alivyona Elon Musk.
Democrat wana ujinga mwingi sana
 
Ila mna kazi sana hii miaka aisee mmesahau kwamba huyo Trampu alishaga waita ma ShitHalls
 
Trump sio criminal, he was criminalized but he won.

Angekua mhalifu usingewaona watu upright kama Dr. Ben Carson wanampigia chapuo

Mhalifu ni Kamala na genge lake lililopo kwenye Epstein list
Ameshinda kwa vipi ? Hukumu ya mahakama ilisemaje? Ben Carson sio mahakama. Kwa CV ya Trump, angekuwa anaomba ajira serikali ya Marekani, asingeajiriwa. Ni ajabu sana mpaka anafikia kugombea uraisi, bila ya kujali kuwa atashinda au la.
 
Trump is a criminal and a convicted felon. Siasa za marekani sio kama za bongo mzee, Raisi ana limitations kwahiyo Kamala hawezi kua chanzo Cha anguko la marekani kwasabb ni mwanamke. There's alot in decision making in American politics not like Tanzania where it's a one man's show.
#No malice to anybody
 
Wewe wacha ukondoo, toka lini Trump akawa nduguyo?
 
Tutamuulia madarakani safari hii hatupigi skio ni risasi ya komwe
 
Trump ndiye rais ajaye wa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…