Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)

Results are only viewable after voting.
Maisha ni ya ajabu sana,huyu Kamala amepata kila kitu maishani mwake kasoro watoto tu.
 
ila nimeshangaa sana. na lait ingetokeq africa sijui kina mmm sa hiz wangekua washajaza twiter.kule hakuna haja ya kadi ya mpiga kura wala kitambulisho na wao pia wameshangaa ukifika wanakulliza tu unakaa wap unapiga. je wanaharakat hii imekaaje
Huku wangesema wakimbizi ndo wamepiga kura ili ziibiwe na CCM.
 
Uchaguzi umekuwa rahisi mno kwa bwana Trump. Yuesiei wanataka demokrasia ya uwakilishi kwa wanawake, ila wao kuongozwa na mwanamke hawataki….noma sana.

Huyu mama kutoboa ni ngumu.
 
BRICS wanakazi kubwa ya kufanya
 
Uchaguzi umekuwa rahisi mno kwa bwana Trump. Yuesiei wanataka demokrasia ya uwakilishi kwa wanawake, ila wao kuongozwa na mwanamke hawataki….noma sana.

Huyu mama kutoboa ni ngumu.
Hawataki kwa kura siyo kwa tenk
 
Back
Top Bottom