Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Na idadi wanawake ndio waliopiga Kura kwa wingi ukilinganisha na wanaume ..hahahaha!
Hatari sana hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na idadi wanawake ndio waliopiga Kura kwa wingi ukilinganisha na wanaume ..hahahaha!
Kamala HarrisKidosi ndo nani???
Wamarekani wengi wa kawaida ukiongea nao bila kujali chama huwa hawako tayari kabisa kuwa na rais mwanamke.
Kuna jambo la califonia alipo zaliwa Kamala lina vote 54.NI kweli Kabisa
Mpaka Sasa siamini kama huu uchaguzi na haya matokeo yamekuwa rahisi namna hii Kwa Trump
Jamaa kabakiza 60 tuu mpaka Sasa
Yaani Harris anahitaji muujiza ili ashinde
Huyo hakuwa woman yeye kasema woman tena black White americanMbona walishamuweka black president, temna akaenda term 2.
Huku wangesema wakimbizi ndo wamepiga kura ili ziibiwe na CCM.ila nimeshangaa sana. na lait ingetokeq africa sijui kina mmm sa hiz wangekua washajaza twiter.kule hakuna haja ya kadi ya mpiga kura wala kitambulisho na wao pia wameshangaa ukifika wanakulliza tu unakaa wap unapiga. je wanaharakat hii imekaaje
Hata huko atalala tu Florida ilikuwa ngome ya democrats lakini Leo trump kaongoza huko.Kuna jambo la califonia alipo zaliwa Kamala lina vote 54.
Be rest assured, you will die leaving USA strong than never before.Much as i would love to witness the collapse of USA but on this fron Trump is winning!!
Kuna jambo la califonia alipo zaliwa Kamala lina vote 54.
Tayari limeisha hesabiwa yuko 179 Trump atamtandika mdosi kwa 324 electoral votesKuna jambo la califonia alipo zaliwa Kamala lina vote 54.
Nimeangalia hapa ndio ametoka kupata za califoni zikampandisha hadu 179.Ngoja tuone
Mpaka Sasa Harris 179
Trump 214
Atashinda zaid kwa 216Kwa hesabu za haraka harake Trump atashinda kwa zaidi ya evs 285
Kwa hiyo Harris atashinda mkuu?Nimeangalia hapa ndio ametoka kupata za califoni zikampandisha hadu 179.
Kazi imisha isha.
Hawataki kwa kura siyo kwa tenkUchaguzi umekuwa rahisi mno kwa bwana Trump. Yuesiei wanataka demokrasia ya uwakilishi kwa wanawake, ila wao kuongozwa na mwanamke hawataki….noma sana.
Huyu mama kutoboa ni ngumu.