Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Unazi wa vyombo vya habari kwakweli ni janga la dunia, CNN, BBC, NBC, MSNBC, ABC, NK wote walikuwa na mapenzi ya waziwazi kwa Kamala!
Ni Fox News Tu waliopambana "kubalance" habari na kumpamba Trump!
 
Mkuubkuna majimbo inahulikana wazi Trump na,Kamala watashinda hilo hakina ubishi. Ngoma ipo katika majimbo saba ambayo ndiyo yataamua mshindi. Habari nzuri ni kuwa moja ya majimbo hayo North Caroline tayari Trump ameshinda hilo jimbo Lima vote 11, kwa Trump bado anahitaji vote 40 katika majimbo sita takiyosalia. Tuendekee kumuombea Trump ili ashinde.

Nina imani Trump atashinda ingawa media kubwa zote hazimtaki, hata hapa nyumbani wachambuzi wengi wanaoitwa na chombo kimoja misimamo yao inajulikana hawantaki Trump akina Shakur na Rabi ukiwasikiliza utagundua hawampendi Trumo.
Wasiyempenda kaja, minne tena kwa Trump
 
Mpaka Saa tatu unusu kîla kitu kitakuwa bayana.

Hatoboi.
Majimbo Saba tayari Kura Zake zimehasabiwa Kwa Asilimia 90 na trump ndiye anaongoza. Unategemea nini
Mpaka Saa tatu unusu kîla kitu kitakuwa bayana.

Hatoboi.
Majimbo Saba tayari Kura Zake zimehasabiwa Kwa Asilimia 90 na trump ndiye anaongoza. Unategemea nini
Uchaguzi una mengi mkuu....ngoja wahesabu angalau 90% ndio tuhitimishe hivyo.
 
Joto La Nani ataenda Kutangazwa Kuwa Rais Mpya Wa Taifa La Marekani linaendelea kuwa kubwa , huku Zoezi la Kuhesabu Kura likiendelea na Vyombo Vya Habari Duniani vikiendelea kuchapisha Matokeo ya Kinyang’anyiro hicho kadri yanavyoendelea kutolewa .

Mpaka hivi sasa Donald Trump na Chama Chake Cha Republican wanaendelea kuongoza kwenye Kura sa Urais, Seneti na Magavana dhidi ya Mpinzani Wake Kamala Harris . Kwenye Kinyang’anyiro Cha Urais Trump mpaka hivi sasa amepata 'Popular Votes ‘ 51, 466, 625 ikiwa ni 52.3% Dhidi ya 45, 502 , 228 alizopata Kamala Harris na kumuacha kwa Tofauti ya Kura 5,964,397 ( 46.3%) .

View attachment 3144844
FB_IMG_1730870324939.jpg


FB_IMG_1730870328168.jpg


FB_IMG_1730870332408.jpg


FB_IMG_1730870337490.jpg


FB_IMG_1730870342416.jpg


Je, Trump atashinda na Kutangazwa Rais Mpya wa Taifa Hilo ?
 
Back
Top Bottom