Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Aah SI acha tuwe na nafasi nyingine hizi za juu sio kabisaDuh!.. nini tena kimekukwaza Madam ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah SI acha tuwe na nafasi nyingine hizi za juu sio kabisaDuh!.. nini tena kimekukwaza Madam ?
Subiri mpaka hesabu ya mwisho ndio useme hatoboi.Ingawaje Harris hatoboi
Maana majimbo kama Saba hivi Trump anaongoza
Na sitoboe tuIngawaje Harris hatoboi
Maana majimbo kama Saba hivi Trump anaongoza
Patamu kweli
Yes kamuacha mbali snPopular votes Trump yupo mbele Sana
Subiri mpaka hesabu ya mwisho ndio useme hatoboi.
Wasiyempenda kaja, minne tena kwa TrumpMkuubkuna majimbo inahulikana wazi Trump na,Kamala watashinda hilo hakina ubishi. Ngoma ipo katika majimbo saba ambayo ndiyo yataamua mshindi. Habari nzuri ni kuwa moja ya majimbo hayo North Caroline tayari Trump ameshinda hilo jimbo Lima vote 11, kwa Trump bado anahitaji vote 40 katika majimbo sita takiyosalia. Tuendekee kumuombea Trump ili ashinde.
Nina imani Trump atashinda ingawa media kubwa zote hazimtaki, hata hapa nyumbani wachambuzi wengi wanaoitwa na chombo kimoja misimamo yao inajulikana hawantaki Trump akina Shakur na Rabi ukiwasikiliza utagundua hawampendi Trumo.
Fafanua kiongozi....Trump akishinda "Uhuru" umeshinda, Kamala akishinda "System" imeshinda,
Msisitizo ni hapo kwenye bold!
Kumbe ww ni KEKwa mambo ya kipuuzi nayoyaona Bora mwanaume ashinde tu!
Mi mwanamke lkn Bora tu mwanaume ashinde!
Tuwaombee ??! 😳Tuzidi kuwaombea
Ahsanteni sana 🐼
Ni suala la muda. Kumpata black president imechukua miaka mingapi,Mwanaume
Mpaka Saa tatu unusu kîla kitu kitakuwa bayana.
Hatoboi.
Majimbo Saba tayari Kura Zake zimehasabiwa Kwa Asilimia 90 na trump ndiye anaongoza. Unategemea nini
Uchaguzi una mengi mkuu....ngoja wahesabu angalau 90% ndio tuhitimishe hivyo.Mpaka Saa tatu unusu kîla kitu kitakuwa bayana.
Hatoboi.
Majimbo Saba tayari Kura Zake zimehasabiwa Kwa Asilimia 90 na trump ndiye anaongoza. Unategemea nini
Hao hata usipowaombea wameshabarikiwa ufahamu na wanautumia.Tuzidi kuwaombea
Ahsanteni sana 🐼
Al jazeera jana walisema africa haijaongelewa kwenye sera za mgombea yeyoteChina anataka Kamala ashinde, Russia anataka Trump ashinde...
Raia wote wa bara la Africa wenye akili timanu tunataka Trump ashinde..