Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Tunajifunza nini wenzetu hawapo kwenye Elimu ya matumizi ya vyoo sahihi wala hawana Public toilet ya kulipia ndio mjifunze kwenye kupiga kura?Africa tuna la kujifunza hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajifunza nini wenzetu hawapo kwenye Elimu ya matumizi ya vyoo sahihi wala hawana Public toilet ya kulipia ndio mjifunze kwenye kupiga kura?Africa tuna la kujifunza hapa.
Plus za Pennsylvania,19=265 +za Wisconsin-10=275Georgia EC Trump +230 = 246
Mpaka Saa tatu unusu kîla kitu kitakuwa bayana.
Hatoboi.
Majimbo Saba tayari Kura Zake zimehasabiwa Kwa Asilimia 90 na trump ndiye anaongoza. Unategemea nini
Uchaguzi una mengi mkuu....ngoja wahesabu angalau 90% ndio tuhitimisheMpaka Saa tatu unusu kîla kitu kitakuwa bayana.
Hatoboi.
Majimbo Saba tayari Kura Zake zimehasabiwa Kwa Asilimia 90 na trump ndiye anaongoza. Unategemea nini
Unajulikana na akili yako unafikiri Trump atakuwa upande wa kobazi, subiri maumivu zaidiDini unazisoma wapi mburula wewe?
Kabisa Mkuu,China anataka Kamala ashinde, Russia anataka Trump ashinde...
Raia wote wa bara la Africa wenye akili timanu tunataka Trump ashinde..
Uchaguzi una mengi mkuu....ngoja wahesabu angalau 90% ndio tuhitimishe hivyo.
Wanamchelewesha tu kumtangaza kisha shinda na pia huko Wisconsin kuna EC 10 zitakuwa 246+10=256 Yuko mbioni pia kushinda na huko Michigan mpaa mda hu anaongoza lakini bado sana kujuwa mshindi hapo kuna 15 EC sidhani hicho kibaniani kitashinda. Akishinda Michigan wachana na Arizona pia anaongoza atakuwa ana 256+15=271 Yule baniani hana chance ya kushinda na Arizona 11 EC itakuwa 282 na bado kwingine huyo banianiani ataishia kwenye chini ya 248 EC haendi zaidi ya hapo.Mmh
Mbona hii bado
Kwani pale white house wanaenda kuhubiri uislam boss mbona kama unafika mbali?Kwangu naona wote ndio hao hao against Islam
Halafu anatumia yale majitu majinga kunyanyasa Watanganyika wenzao!US sio Tanganyika kiasi washikiwe nchi na Mke wa mtu.
Hamna black president na Rais Mwanamke aliwahi kutoke USA.Barrack Obama alikuwa half cast sio mweusi,Mama yake alikuwa mzungu.Ni suala la muda. Kumpata black president imechukua miaka mingapi,
Ni msiba kweli kweli nchi hii, Tunawahitaji kina Trump wengi zaid mpaka huku Africa wanyooshe hizi nchi za kitumwa.Halafu anatumia yale majitu majinga kunyanyasa Watanganyika wenzao!
Nani sasa aombewe, trump au kamala?Tuzidi kuwaombea
Ahsanteni sana 🐼
Kwa democracy yao hataweza kulipa visasi maana hawezi kumwamlisha Chief justice, polisi and the like wafanye kinyume cha katiba na sheria........ hana impunity hiyo, hana kabisaNawaza huyo baba akishinda atalipaje visasi kwa aliyopitia??
Mapema sanaTrump anaonekana atachukua hii, yuko mbele sana Pa na Wisconsin