Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

Isijekuwa hao vijana ndiyo kitengo cha wafinyaji?

Tutayasikia na kuyaona mengi mwaka huu wa uchaguzi.
 
Walifuata

Ila ni kweli mtu mwenye akili timamu hawezi akakubali kutumwa kwenda kufanya kitu cha kipumbavu.
Japo inategemea pia huyo mwanamke aliyewatuma ushiriki wake ulikuwa ni wa kiasi gani na kuna ushahidi gani utakaoonyesha kwamba ana ushiriki kwenye hilo jambo vinginevyo anawaruka tu
 
uwakili nao ni kazi ya hovyo, kuwatetea walawiti na wabakaji. na wauaji
 
Mimi sijui kesi zinaendeshwaje lakini najiulizaga mtu kitendo kinaonekana kakifanya hapo anatetewa Nini 🤔 kwanza hata wewe wakili wa watuhumiwa unatetea uovu kisa pesa🥺
Watajifanya kwamba video imeeditiwa/feki na kesi inaweza kuzungushwa hata miaka mitatu hadi watu tutasahau
 
Kesi za ubakaji hazitegemei ushahidi wa moja kwa moja.

Siyo mwanasheria mimi lakini nawasoma watu huko nje wakienda jela, japo kiduchu, kwa kesi za ubakaji, wengine mpaka leo wapo jela.

Ubakaji imekuwa ni chombo kikubwa kinachotumika kivita za walimwengu.
 
hapo hakuna kesi ya ubakaji wa ulawiti bali naona kuna kosa la kusambaza picha za ngono kwenye mitandao ya kijamii.
Mbona hata ueleweki ulichoeleza hapa.
Kwani hiyo ndio picha ya kwanza kusambazwa mtandaoni?
Wakina Ambaruty,Gigy money,Mwijaku na wengine wengi walishasambaza na wapo tu mitaani wanaishi bila bughudha wala kesi yoyote
 
Hivi hawa askari wa magereza, polisi na JWTZ huwa wanavutishwa bangi? Mbona wanafanya vitendo vya kikwuma sana?
 
Wahuni sana hao jamaa, wamemshibisha binti wa watu mimbegu yao had akataka kutapika - yaani wale mvua za kutosha wakafie gerezani.

Afu stelingi wao wa ufedhuri huu ajitokeze kwa hiari - hatujamsahau bado.
 
Kwenda zako huko. Nenda ukale kitimoto
 
sijui chochote kuhusu sheria ninachokumbuka huko Amerika mara kina P didy walipelekewa kesi zina mamiaka wakahaha kina R Kelly alifungwa mpaka na kesi za mamiaka kina Michael Jack alipona pona sijajua hii ya bongo nyoso
 
 
Hivi kwa video clip ile hawa mawakili wa utetezi watamshawishi vipi hakimu kuwa lile alikuwa KOSA? NA WAACHIE HURU WATEJA WAKE?
maana hyo kesi kwenye ubakaji ipo,kwenye ulawiti ipo,kwenye utekaji ipo,kwenye makosa ya mitandaoni ipo.
Watatokea wapi?
IWE FUNDISHO KWETU.kila mtu aheshimu sheria.hakuna mbabe.
 
Unapoingia mahabusu kwa mara ya kwanza uwa unahisi unaweza ukatoka kesho.ila bwana weee.
Kule hakuna mjanja unaona mwamba nyundo anavyoanza kupoteza nuru mdogo mdogo?
 
Kweli.kulikuwa na haja gani ya kujirekodi?
Kama adhabu walishampa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…