Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

Hivi hii kesi imesimama au inaendelea?
 
Imeisha hyo tena kimya kimya na hii ndio tanzania wepes kudandia matukio na wepesi kusahau matukio
Kweli asee hapo awali kila sehemu ilikuwa ndo ajenda sasahiv hata mzee wa yanayojiri apa ameshindwa kujua muendelezo ngoma imeyeyuka juu kwa juu
 
Lazima tu wakate rufaaa na mara ya mwisho watatoka
 
Back
Top Bottom