Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

Kampeni hizi hamtaki mabadiriko?. Mikono hamzungushi tena?. Poleni Wajumbe wa saccos.
 
Haki, Uhuru na maendeleo ya watu.lissu ajikite kufafanua kauli mbiu hii ya kupendeza kwa kina.Kwa mfano mamlaka za serikali kutoa upendeleo kwa watu kwa misingi ya vyama vyao limekithiri sana..
 
Wana Geita mkataeni anawatukana kuwa mmependelewa maendeleoView attachment 1578131
Kwa taarifa yako Usiseme anapendelea Geita ,sema anapendelea Chato pekee!!! Makao makuu taasis nyingi kipaumbele Chato. Wadau wangu huko walinijuza mzee bado ana kinyongo alikosa wadhamini ngazi ya chama enzi zile za upepo wa Lowasa.
 
Mkuu emb weka hii hapo juu maana Lissu kanifurahisha sana
 
Nasikia Leo meko hafanyi kampeni ili aone chato itakavyoitika kwa lisu
Hapa katoro na buserere matatizo lukuki,hakuna maji,hakuna lami,hakuna chuo Cha elimu chochote, ni shida bin shida. N
Kinachopendelewaa ni kijiji cha chato na sio geita nzima.
Katoro na buserere ni miji iko Jimbo la CHATO, hakuna kitu alicholeya Huku. Hakuna maji,hakuna barabara za lami ndani ya hiyo mji.ni shidaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…