Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

Niko Katoro hali si ya kawaida kila nikigeuka Lissu Lissu nikasema kuna nini, yani kuna taharuki kila mtu amekaa atention akisema anatokea anatokea..ukiangalia magari yanayokuja sio yeye..

Huyu jamaa anawaharibu watu vichwa, shughuli za uchumi zilipaswa kuendelea, hivi sio sawa
 
Sasa mbona ameogopa kupita Chato ...anajua fika mziki wa chato.
bukoba - muleba -Biharamulo - bwanga hadi katoro. Chato inakuwa pembeni. Bukoba - Muleba - Chato -bwanga hadi katoro; Biharamulo inakuwa pembeni. Ni rahisi mtu wa Chato kwenda Katoro kuliko mtu wa Biharamulo kwenda Katoro
 
Back
Top Bottom