4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Lissu kaisha shindikana,kunyweni maji,maji,maji,mengi ili mpanue mapafu ,kimbunga hiki sio Cha kawaidaKatoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu kaisha shindikana,kunyweni maji,maji,maji,mengi ili mpanue mapafu ,kimbunga hiki sio Cha kawaidaKatoro
Duh! we mchawi ahahaha nimejikuta nacheka tu! Asante sana.Nafikiri umekosea kuandika vizuri pia, mkuu!
Nyani haonagi kundule, mkuu!Duh! we mchawi ahahaha nimejikuta nacheka tu! Asante sana.
Tulionya mapema sana kwamba kuisambaratisha ccm ni suala la wiki moja tu , nadhani mmejionea wenyeweLissu kaisha shindikana,kunyweni maji,maji,maji,mengi ili mpanue mapafu ,kimbunga hiki sio Cha kawaida
Small mind. Huo mgodi mkubwa ni wa wana nzengo. 😛Uongo migodi mikubwa ya dhahabu iko Geita Kuna hadi kampuni kubwa la Geita Gold Mine kule.
Niko Katoro hali si ya kawaida kila nikigeuka Lissu Lissu nikasema kuna nini, yani kuna taharuki kila mtu amekaa atention akisema anatokea anatokea..ukiangalia magari yanayokuja sio yeye..
Huyu jamaa anawaharibu watu vichwa, shughuli za uchumi zilipaswa kuendelea, hivi sio sawa
bukoba - muleba -Biharamulo - bwanga hadi katoro. Chato inakuwa pembeni. Bukoba - Muleba - Chato -bwanga hadi katoro; Biharamulo inakuwa pembeni. Ni rahisi mtu wa Chato kwenda Katoro kuliko mtu wa Biharamulo kwenda KatoroSasa mbona ameogopa kupita Chato ...anajua fika mziki wa chato.
Kweli, japo huo msemo saivi tunasema Nyani haoni kaliole!Nyani haonagi kundule, mkuu!