Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

Yaani haka kajamaa kaongo kweli mbona hutumi picha za mapokezi ya Lissu Katoro na Geita???
 
Hi taarifa mleta mada uliileta saa nne asubuhi saa hizi inaelekea saa kumi na Moja Giza linaingia napata hasira hamna update hiyo ya Geita?.Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema badio hakijamaliza kazi tu?
Wanaujua mziki wa Geita Lowassa alipita pale akajinyea jee huyu mabagafresh sianaenda kujiharishia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani una roho ngumu mpaka Shetani anakushangaa aisee, maana nasikia Mwenyekiti amekataa kutoa hela ya kujibizana mitandaoni, lakini wewe nakuona bado umo, au bado posho yako haijakatika??
Mbona mama yako anajibizana mtandaoni bila kupewa hela?
 
Yaani haka kajamaa kaongo kweli mbona hutumi picha za mapokezi ya Lissu Katoro na Geita???
Subiri kidogo giza liingie kitengo cha uchakachuaji picha Cha chadema bado wako studio wanamalizia kazi
 
NI YEYE.

Geita chato na Viunga vyake shamra shamra ndelemo na vifijo kumlaki Rais wao.

Kazi zote zimeaimama Geita wajasiliamali,watumishi wa Uma,vibarua machinga Boda boda wapo njiani kumpokea Mkombozi wao.
Naomba picha za hao watumishi wa Umma majasiri niwaone
 
M
Niko Katoro hali si ya kawaida kila nikigeuka Lissu Lissu nikasema kuna nini, yani kuna taharuki kila mtu amekaa atention akisema anatokea anatokea..ukiangalia magari yanayokuja sio yeye..

Huyu jamaa anawaharibu watu vichwa, shughuli za uchumi zilipaswa kuendelea, hivi sio sawa
Kawadanganye amabao hawako Katoro! Narudia tena niko hapa stamiko watu wajo busy nashughuli zao Kama kawaida.
 
Safari ya kuing'oa CCM ni ngumu na ninafuu ya kutembea Kwa mguu kwenda sayarini, unapokuwa na mtu aliyedhamilia kufanya hivyo na hatojali atafika lini huko, inahitaji kutiwa Moyo ili aendelee na Safari,ingawa mpambanaji huyo aweza kufia njiani na kizazi cha kizazi chake ndio kitakachokuja kufika sayarini tayari Kwa kuing'oa CCM

Tusichoke kuwatia moyo watu kama hao wanaotia Nia, lakini tusisahau kutumia sayansi zaidi ya hao waliotangulia kufika huko sayarini na wakaweka mizizi yao huko,

Akili kubwa inahitajika zaidi ktk Safari hizi na sio Maneno na upambe mwingi

Nimalize Kwa kusema, Atashinda tena, NDIYO, Magufuli atashinda tena Kwa ushindi mkubwa kuliko ule 2015,

Naomba mliokamia saaana eti huyo mbeligiji atashinda, jihadharini msije kuanguka mkazikwa bule Kwa kuwa atashindwa vibaya Sana, ni Bora kuanza kuizoea hiyo Hali kidogokidogo, mwisho wa siku maisha yanaendelea
chuki zako zinakufanya hata mtanzania mwenzio umwite mbeligiji?
 
Dawaamul haal minal muhaal acha kukariri we nguchiro

Back
Top Bottom