Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

Haki, Uhuru na maendeleo ya watu.lissu ajikite kufafanua kauli mbiu hii ya kupendeza kwa kina.Kwa mfano mamlaka za serikali kutoa upendeleo kwa watu kwa misingi ya vyama vyao limekithiri sana..

Ni input nzuri kwa kuwa jamaa ana maeneo mengi ya kutembelea na unakuta ana mengi ya kusema... nami nashauri chadema ingeweka utaratibu au timu inayokushanya maoni ya vitu vya kuongea na kumuwakilishia jamaa.... maana yeye ni binaadam hivyo hawezi kukumbuka yote..
Erythrocyte
 
Safari ya kuing'oa CCM ni ngumu na ninafuu ya kutembea Kwa mguu kwenda sayarini, unapokuwa na mtu aliyedhamilia kufanya hivyo na hatojali atafika lini huko, inahitaji kutiwa Moyo ili aendelee na Safari,ingawa mpambanaji huyo aweza kufia njiani na kizazi cha kizazi chake ndio kitakachokuja kufika sayarini tayari Kwa kuing'oa CCM

Tusichoke kuwatia moyo watu kama hao wanaotia Nia, lakini tusisahau kutumia sayansi zaidi ya hao waliotangulia kufika huko sayarini na wakaweka mizizi yao huko,

Akili kubwa inahitajika zaidi ktk Safari hizi na sio Maneno na upambe mwingi

Nimalize Kwa kusema, Atashinda tena, NDIYO, Magufuli atashinda tena Kwa ushindi mkubwa kuliko ule 2015,

Naomba mliokamia saaana eti huyo mbeligiji atashinda, jihadharini msije kuanguka mkazikwa bule Kwa kuwa atashindwa vibaya Sana, ni Bora kuanza kuizoea hiyo Hali kidogokidogo, mwisho wa siku maisha yanaendelea
 
Umemaliza wote uliobaki kichwani?
 
Hutaamini macho yenu. Na mbinu inayotumika ni kubwa.
 
Mzee wa utemi sasa hana chake, utemi akafanyie nyimbani kwake, watanzania wamemgomea.
 
Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo atakuwepo Geita , huu ndio Mkoa aliouawa kinyama kamanda Alphonce Mawazo, RIP, mchana wa jua kali huku wauaji wanaofahamika hawajakamatwa hadi leo.

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika .

=======
Mawazo yule aliekuwa jambanoko mkuu, rafiki yake Lema mwizi wa magari ?
 
Lisu awe anapumzika na yeye jamani mwili unahitaji utulivu kiafya zaidi hata siku mbili kwa week sio mbaya
 
Weka picha hapa au video tuone tulioko mbali na geita habali bila picha yawezekana ikawa chai.
 
Yaani vijana wa bavicha mnajua kujifariji leo mnaoga aibu .
 
Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo atakuwepo Geita , huu ndio Mkoa aliouawa kinyama kamanda Alphonce Mawazo, RIP, mchana wa jua kali huku wauaji wanaofahamika hawajakamatwa hadi leo.

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika .

=======
Muda huu...Mji mdogo wa Katoro Geita bodaboda wazuiwa kufunga bendera za CHADEMA,
 
Back
Top Bottom