Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

Hao covid hawawezi samehewa kwani hawajawahi omba msamaha na wamejifanya nunda mtu wa kuwadefend mh jobo ndo huyo hayupo madarakani mh Tulia ni mtu mwelewa ataheshimu maamuzi ya kikao tofauti na bwana yule
 
Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao hicho iliyotolewa na Mwenyekiti Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe.

View attachment 2152766
View attachment 2152754View attachment 2152755View attachment 2152756

View attachment 2152765
Tuleteeni hizo updates mkuu. Msiwe tu mnakimbilia kuwa Wa kwanza kuanzisha Uzi alafu kisha mnatuacha hewani haipendezi
 
waandishi wa habari wakiita press conference kueleza waliyoongea waulizeni kwa nini hamkuvaa barakoa wala ku.keep social distance wakati nyie ni waumini wakubwa wa kusema Corona ipo mlitoka hadi bungeni ku ji Isolate kwa kusema Corona ipo kali
 
COVID wafukuzwe kwanza hilo ndiyo la mhimu kuliko yote
Sidhani kuwa una maana hiyo mkuu. "La maana kuliko yote"? Are you serious?
Anyway, tusibishanie hili, kwa sababu halina maana yoyote.

CHADEMA ni lazima watoke na ajenda inayoeleweka kuhusu KATIBA MPYA, vinginevyo watakuwa hawana tofauti yoyote na hawa wengine wote.
 
-Vyama vyote vifanye siasa Safi,wasimamizi wa Sheria ya vyama vingi vya siasa nao wafanye siasa Safi.
-Haya yote yatawezekana kama vyama vyote vitafuata Sheria na kanuni za vyama vya siasa na Sheria na kanuni za uchaguzi.
-wanasiasa washindane kwa hoja na Sera mzuri badala ya hila.
 
katika ukumbi huo ndiyo zilitoka picha lowasa akiwa ndani ya kamati kuu pasipo kuwa amejisafisha.
 
waandishi wa habari wakiita press conference kueleza waliyoongea waulizeni kwa nini hamkuvaa barakoa wala ku.keep social distance wakati nyie ni waumini wakubwa wa kusema Corona ipo mlitoka hadi bungeni ku ji Isolate kwa kusema Corona ipo kali
Kwa kuweweseka huko nadhani unahitaji msada wa vidonge ili kupata usingizi.
  • Numerous studies have found that insufficient sleep increases a person's risk of developing serious medical conditions, including obesity, diabetes, and cardiovascular disease.
  • Lack of adequate sleep over time has been associated with a shortened lifespan.
 
Hiki ulichoandika kina uhusiano na Kikao cha kamati kuu ya Chadema kutovaa barakoa na ku keep social distance kikaoni kujikinga na Corona?
 
Magazeti Kesho heading kuu ukurasa wa mbele iwe Chadema wakaa kikao cha kamati kuu bila kuvaa barakoa wala social distance pamoja na kuwa ni waumini wakubwa waumini Corona ipo

Halafu iwekwe picha ya kikao
 
Back
Top Bottom