Covid19 naijua njia za kulinda ni pamoja na kuvaa barakoa na Social distance kamati kuu hawajazingatia
Vichwa vya habari vya magazeti kama kweli wako serious na mapambano dhidi ya Corona wasihangaike kuandika kamati kuu Chadema ilisema nini waandike iuzembe wao waliofanya kutovaa barakoa na social distance
Sababu chukulia wametoka mikoa yote Tanzania nzima mmoja hapo akiwa na Corona sia ataambukiza kanda zote za wajomba na kwenda Kuua watu kanda au mkoa wake kwa Corona?. Hapo hoja kuu inatakiwa kuwa wajumbe hawakuvaa barakoa wala ku keep social distance kujilinda na Corona