Kabwe Katali
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 475
- 934
Kamati inakutana siku ngapi mkuu.hadi sasa hakuna official statement yoyote ili tujue walichozungumza.Halafu mbona kikao kilimsubiri Mwenyekiti ina maana walijua angetoka karibuni?Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao hicho iliyotolewa na Mwenyekiti Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe.
View attachment 2152766
View attachment 2152754View attachment 2152755View attachment 2152756
View attachment 2152765